Mungu ibariki ChademaIringa, Tanzania
KONGAMANO KUBWA LA WEWE MWANA CHADEMA 10 /12/2022
Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa kupitia CHADEMA Peter Msigwa anawakaribisha Kongamano la wewe mwana CHADEMA fika Gangilonga mjini Iringa tarehe 10 December 2022.
Katika kingamano hilo Joseph Mbilinyi, John Heche, Susan Kiwanga, Ezekiel pia kwa njia ya mtandao makamu mwenyekiti CHADEMA bara Tundu Lissu na Godbless Lema watashiriki
Huyu mtu sichokagi kumsikiliza, naona wamuandae nafasi ya Mwenyekiti naona jinsi 2025 ataibeba Kanda ya ziwa yote!! Ana ushawishi sio kidogo23 November 2022
KONGAMANO LA KATIBA MPYA PWANI YA KASKAZINI
WATAWALA NA MATAJILI HAWAWEZI KUPIGANIA HAKI ZAKO
ndo mamakoChadema ndo nn
Eee bha eeee !!
Huyu mtu sichokagi kumsikiliza, naona wamuandae nafasi ya Mwenyekiti naona jinsi 2025 ataibeba Kanda ya ziwa yote!! Ana ushawishi sio kidogo
Hayo mambuzi vipi mbona wana hasiraHiyo mimba ya Mbowe kaitoe itakuua .
Mungu ibariki CHADEMAIringa, Tanzania
KONGAMANO KUBWA LA WEWE MWANA CHADEMA 10 /12/2022
Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa kupitia CHADEMA Peter Msigwa anawakaribisha Kongamano la wewe mwana CHADEMA fika Gangilonga mjini Iringa tarehe 10 December 2022.
Katika kongamano hilo makamanda Joseph Mbilinyi, John Heche, Susan Kiwanga, Ezekiel Wenje pia kwa njia ya mtandao makamu mwenyekiti CHADEMA bara Tundu Lissu na Godbless Lema watashiriki
Hakika chadema ni mpango wa Mungu na tutakuwepo kwenye kongamano hata kama itatugharimu kiasi ganiIringa, Tanzania
KONGAMANO KUBWA LA WEWE MWANA CHADEMA 10 /12/2022
Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa kupitia CHADEMA Peter Msigwa anawakaribisha Kongamano la wewe mwana CHADEMA fika Gangilonga mjini Iringa tarehe 10 December 2022.
Katika kongamano hilo makamanda Joseph Mbilinyi, John Heche, Susan Kiwanga, Ezekiel Wenje pia kwa njia ya mtandao makamu mwenyekiti CHADEMA bara Tundu Lissu na Godbless Lema watashiriki
Ngoja nikustue kidogo, kwa sababu sijaona popote mkistuka kuhusu sinema iliyokuwa ikiendelea hivi jana na juzi; sinema ya "Mbuzi".
Mimi nitapenda kuuliza tu swali kuhusu haya uliyoandika hapa juu:Subiri 2025 ndio utaelewa!!! ngoja mjichanganye mkubali tume huru mtajuta maana sidhani kama Kuna mTanzania mwenye akili timamu anaweza piga kura kwa serikali iliyofeli Kila kitu.