Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

Prof Griff

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
6,772
Reaction score
5,258
John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya Kongamano la Katiba Mpya.
 
Chadema wanatakiwa kuja na plan nyingine ili mjadala wa Katiba Mpya uendelee mpaka polisi na CCM wachanganyikiwe.
 
Chadema badala ya kupambana na serikali wanahamasisha wafuasi wao wapambane na waislam,wameishiwa sera
 
Likafanyikie Moshi,hatutaki kutuletea vurugu Kanda ya ziwa,Kama mlivyokuwa mkileta vurugu Arusha mauaji na maandamano yenu, Moshi kukiwa tuli.
Amka usingizi wewe, naona bado unaota kuwa Rais ni wa Kanda ya ziwa kutokea kule Chatroooo.....
 
John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya Kongamano la Katiba Mpya.
... naye atageuzwa gaidi muda sio mrefu.
 
Mnyika hanaga huo ujinga, hawezi kabisa kwenda front.
 
John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya Kongamano la Katiba Mpya.

Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
 
C

Copy and paste ni hatari mwisho badala ya kuandika jina lako, utaandika la originator! Huku Bara, tactics hizo haziwezi kufanikiwa. Tunapendana mno.
 
Likafanyikie Moshi,hatutaki kutuletea vurugu Kanda ya ziwa,Kama mlivyokuwa mkileta vurugu Arusha mauaji na maandamano yenu, Moshi kukiwa tuli.
Usiwapangie Wewe ni nani ktk Nchi hii au ndio wale Walionyofolewa Ubongo
20210716_160047.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
C

Copy and paste ni hatari mwisho badala ya kuandika jina lako, utaandika la originator! Huku Bara, tactics hizo haziwezi kufanikiwa. Tunapendana mno.
Tusingetiana vilema, kubambikizia kesi wala kuuwana. Tumefika mwisho, ni lazima tujitenge maana walevi wa madaraka wametufikisha huko.
 
J Mnyika ni mtu smart sana. Ni output na muumini wa siasa safi za Dr. Slaa. Hawezi kufanya ujinga huu, tumsubiri tu mwenyekiti wetu akitoka korokoroni tuendeleze unyumbu.
 
Mn
John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya Kongamano la Katiba Mpya.
Mnyika hawezi kuvunja Protocol..hii ni KAZI ya Makamu Mwenyekiti..
 
Back
Top Bottom