Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
umejimilikisha mwanza? c.ajabu unaishi darLikafanyikie Moshi,hatutaki kutuletea vurugu Kanda ya ziwa,Kama mlivyokuwa mkileta vurugu Arusha mauaji na maandamano yenu, Moshi kukiwa tuli.
Plana ile ile mpaka waoga wa madai ya katiba mpya waite maji mma.Chadema wanatakiwa kuja na plan nyingine ili mjadala wa Katiba Mpya uendelee mpaka polisi na CCM wachanganyikiwe.
Amka usingizi wewe, naona bado unaota kuwa Rais ni wa Kanda ya ziwa kutokea kule Chatroooo.....Likafanyikie Moshi,hatutaki kutuletea vurugu Kanda ya ziwa,Kama mlivyokuwa mkileta vurugu Arusha mauaji na maandamano yenu, Moshi kukiwa tuli.
... naye atageuzwa gaidi muda sio mrefu.John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya Kongamano la Katiba Mpya.
... maandiko yanasema; ulimi wa uongo ni wa kitambo tu, wenye haki ni jasiri kama simba! Wataaibika na kuaibika tena na tena!Wangemsingizia yote lakini sio ugaidi..huu ni ujinga per se!
John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya Kongamano la Katiba Mpya.
Copy and paste ni hatari mwisho badala ya kuandika jina lako, utaandika la originator! Huku Bara, tactics hizo haziwezi kufanikiwa. Tunapendana mno.Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.
Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
Usiwapangie Wewe ni nani ktk Nchi hii au ndio wale Walionyofolewa UbongoLikafanyikie Moshi,hatutaki kutuletea vurugu Kanda ya ziwa,Kama mlivyokuwa mkileta vurugu Arusha mauaji na maandamano yenu, Moshi kukiwa tuli.
Tusingetiana vilema, kubambikizia kesi wala kuuwana. Tumefika mwisho, ni lazima tujitenge maana walevi wa madaraka wametufikisha huko.C
Copy and paste ni hatari mwisho badala ya kuandika jina lako, utaandika la originator! Huku Bara, tactics hizo haziwezi kufanikiwa. Tunapendana mno.
Mnyika hawezi kuvunja Protocol..hii ni KAZI ya Makamu Mwenyekiti..John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya Kongamano la Katiba Mpya.