Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wee Rev Masanilo, naomba acha kumchafulia jina rais wetu kwa kumsingizia eti ana GPA ya 1.9!. Japo siijui GPA yake lakini siamini kama ki ukweli ni hii uliyoitaja hapa!. Naombeni tuache masikhara, huyu ni rais kipenzi chetu, tumemchagua sisi wenyewe kwa kura zetu milioni 4 kama ilivyo idadi ya wanachama wa chama chutu kitukufu cha Mapinduzi, moja ya majukumu yake ni kupindua kila kitu, hivyo lazima aheshimiwe.Kipengele cha GPA kwenye degree ya kwanza ni muhimu kiwekwe kama moja ya sifa ya mgombea raisi. Kikwete ana GPA ya 1.9 no wonder anaipeleka anavyojua yeye. Kuepuka watu kama hawa GPA ni muhimu walau ianzie 3.0 kwa wagombea uraisi
Rev. Masa, nakuomba tell me hii GPA ya 1.9 was just a joke ili roho yangu itulie!.