uDINI UPO KWA WANASIASA BUT SISI MTAANI TUNAKULA BATA TUU!
hahahahah!umenena ndugu,nyumba nayoish muislam peke yangu,bt ni ful shangwe,cjaona wakinikwaza,na hawajawai kunishu2mu kwa chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uDINI UPO KWA WANASIASA BUT SISI MTAANI TUNAKULA BATA TUU!
Stupit this udinism, yani kla mara wanafikiri watanzania ni wapumbavu kiasi cha kuamini fulani anahujimiwa kisa ni wa dini fulani. Huu ni ujinga ambao watanzania lazima tuuepuku.
mbona kipindi cha mkapa mambo mengi ya kutisha yalikuwepo kama kuzama kwa MV Bukoba. Nahakika nao wangesema wamehujumiwa. wakati mambo mengine ni uongozi mbovu.
Enyi waislam wenzangu msikubali kununulika na kuanza propoganda chafu na mkashindwa kumkosoa mtu eti kisa ni dini yako. Kwenye serikali hatuangalii dini tunaangalia mtu safi asifiwe na mchafu akemewe.
Wakristo kwa waislam. Kemeeni uovu mkiuona hata kama mtu ni wa dini yako, na msifieni mtu pale anapostahili sio kutumiwa na wanasiasa kuleta pumba huku familia zenu zikibaki masikini.
BAKWATA ni asasi ya kiislam ambayo si huru,haitetei waislam,kwani serikal huweka watu wake,wasiotakiwa na waislam,waislam weng hawaiamin+wala hawaipendi BAKWATA,kwa taarifa yako OFIS ZA BAKWATA kuna tawi la CCM,so hatotokea rais wa kuunda chombo kipyaWaislam hawana uongozi,kila msikiti na maamuzi yake!ni jamii isiyokua na muelekeo ktk tanzania.Rais atakayevunja bakwata na kuunda chombo chenye tija kwa waislam wote ndiye atakaye kuwa na manufaa kwa waislam