Kongamano la kibiashara Urusi na Tanzania jijini Dar es Salaam 2024

Kongamano la kibiashara Urusi na Tanzania jijini Dar es Salaam 2024

Are our So called experts Well equipped To deal with This?

And other Trade relationship with Foreign Partners?

It's a chess match .
 
Hapo us roho inauma

Kila superpower China, USA na Russia n.k anavutia maslahi yao upande wake, waziri wa Putin yupo Tanzania huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yupo Marekani muda huu kufuatilia Kilimo Kwanza ajenda ya Chakula ni Usalama
 
Hakuna kitu hapo Mrusi anaitaka Bauxite yetu.. Ni malighafi adimu kwa ajili ya utengenezaji wa mabomu

In Tanzania, large bauxite deposits are observed in Mbeya and Tanga regions. The total estimate of bauxite reserves in Kidundai-Magamba and Mabughai-Mlomboza bauxite deposits in the Tanga region is about 37 million tons (Mutakyahwa et al., 2003) .
Kuna tatizo!?..akina bush wanachimba dhahabu tangu 1990s unyamwezini/sukuma na wanawaacha mashimo tu
 
Hivi yale mawese ya Kigoma yamefikia wapi?
Tuna tabia za ajabu sana; maneno yetu ni mengi mno kuliko vitendo. Tutakapo punguza maneno na kufanya kwa uangalifu tunayo panga kuyafanya, hapo ndipo taifa hili litatoka kwenye mkwamo.

Halafu angalia habari kama hii. Hivi mbona miaka yote hizi 'delegation' huwa hazipungui, lakini matokeo yake hayaonekani?
Majaliwa na mgeni wake wangezungumzia jambo moja tu, au mawili, na kuhakikisha hayo mambo yanafanyika. Warusi kwa mfano wange karibishwa kuwekeza kwenye kiwanda kikubwa cha mbolea, na ulimaji wa nafaka, hasa ngano; kwa sababu maeneo haya wana yamudu vizuri.
Michikichi siyo miwa au mipapai,huchukua miaka kuanza kuzaa
 
Michikichi siyo miwa au mipapai,huchukua miaka kuanza kuzaa
Najuwa mkuu, lakini hata habari za maendeleo yake ziwe kimya kabisa?

Haya, hebu saidia wewe unaye juwa kinacho endelea na mradi huo:ni hekta ngapi zilipandwa na sasa zinasubiriwa tu zitakapo kuwa tayari Tanzania ianze kupata neema wanazo zipata akina Indonesia na Malaysia?

Viwanda navyo itabidi visubiri hadi hapo kila mmea utakapo anza kutoa mazao? Wananchi je, na wao wamejipanga vipi kufaidika na mradi huo, au maandalizi ni hadi hapo kila kitu kitakapokuwa tayari?

Mkuu, nakusihi wewe utuletee hapa mrejesho wa hali ilvyo huko Kigoma kuhusu zile kelele nyingi sana tulizo sikia wakati ule.
 
Urusi ina bidhaa gani za kuleta Africa? Zaidi Meli yao itakuwa inafanya ro-ro trip port to port!
 
Hapana, sijasema ni swala la upendo; bali ni biashara tu kama katika hayo mengine.
Maoni yangu hasa katika maneno hayo uliyo ni'quote' ni kuhusu hawa wa hapa kwetu, akina Majaliwa kuelekeza nguvu za hao wageni kwenye maswala yetu muhimu; kuliko wanakowekea nguvu zaidi sasa wakilenga maslahi yao binafsi.
Noted 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia​

View: https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0
DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania zina uwezo wa kuongeza maradufu biashara zao.

Na wafanyabiashara wa Urusi waonyesha nia ya kuwekeza katika miradi ya pamoja ya sekta za, nishati, kilimo, miundombinu na utalii, Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Urusi Maxim Reshetnikov alisema wakati akikutana na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa. .

Ujumbe wa Urusi ukiongozwa na Reshetnikov uliwasili Tanzania siku ya Jumatatu ili kushiriki katika mkutano wa kwanza wa tume ya ushirikiano wa serikali za Urusi na Tanzania kuhusu biashara na uchumi unaotarajiwa kufanyika Jumanne.

"Tuko tayari kusaidia uchumi wa Tanzania kudumisha kasi ya juu ambayo imefikiwa katika sekta ya nishati, kilimo, maendeleo ya miundombinu na utalii," Reshetnikov alisema na kuongeza kuwa karibu kampuni 50 za Urusi zinashiriki katika kongamano la biashara kati ya Urusi na Tanzania. siku hizi.

"Maelewano ya kisiasa na kidiplomasia baina ya nchi zetu yanatoa masharti mazuri ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara na kiuchumi. Kuna uwezekano mkubwa ambao haujatumika. Kulingana na makadirio yetu, biashara kati ya nchi zetu inaweza kuongezeka maradufu," Reshetnikov alisema wakati akikutana na Majaliwa.

Alitaja uhusiano wa kihistoria unaotegemewa kati ya serikali ya Urusi na Tanzania, jumuiya za wafanyabiashara na watu binafsi.

Biashara za Tanzania zimeonyesha nia kubwa kwa Urusi, na wafanyabiashara wa Urusi wako tayari kuingia katika masoko mapya, kuwekeza katika miradi ya pamoja, na kushiriki teknolojia, alisema.

Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa alisema kuwa, katika kipindi cha miaka 63 ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, Urusi imeonekana kuwa moja ya washirika wa thamani wa nchi yake.

Tanzania inatarajia kuungwa mkono na Urusi katika kurejesha juhudi za kuimarisha uhusiano katika nyanja za uchumi, biashara, uwekezaji, utalii, elimu na utamaduni, alisema Majaliwa.

Nchi hizo mbili zilitia saini makubaliano ya huduma za anga za kibiashara mwezi Juni, ambayo ni alama muhimu katika kukuza uwekezaji wa kibiashara, hasa katika sekta ya usafiri, alisema.

Idadi ya watalii wa Urusi wanaotembelea Tanzania imekuwa ikiongezeka katika miaka mitano iliyopita hata licha ya janga hilo, alisema.

Majaliwa aliwaalika wawakilishi wa makampuni ya Urusi kutembelea Tanzania na kuangalia fursa za uwekezaji zilizopo nchini mwake

30 October 2024

TANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA LUKUKI ZA URUSI / KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI LAZAA MATUNDA

View: https://m.youtube.com/watch?v=HYLXmm1Kp9E

30 October 2024
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania Strengthens Relationship with Russia During the Business & Investment Forum

View: https://m.youtube.com/watch?v=ELtXQfhmdzc

Tanzania welcomed Russian Economic Development Minister Maxim Reshetnikov in Dar es Salaam for a Business and Investment Forum aimed at strengthening bilateral trade and economic ties. Tanzania Strengthens Relationship with Russia During the Business & Investment Forum

29 Oct 2024 16:04

Tanzania could become single point of Russian products' entry into African market - minister​

DAR ES SALAAM. Oct 29 , 2024 (Interfax) - Tanzania's advantageous position on the coast of the Indian Ocean allows it to become a single point for Russian products' entry into the African market and develop the North-South transport corridor, Russian Economic Development Minister Maxim Reshetnikov said at the Russia-Tanzania business forum on Tuesday.

The forum is part of an official visit of a Russian delegation to Tanzania for the first meeting of the bilateral intergovernmental commission.

"We have identified strategic priorities. First of all, logistics. The advantageous geographic position of Tanzania on the coast of the Indian Ocean and connection to other African countries unlocks great opportunities for Russia. The republic could become the single point of entry for our products into the African continent and develop the North-South transport corridor. In turn, our country could provide Tanzania with a window to the market of the Eurasian Economic Union," Reshetnikov said.

Energy cooperation has a great potential, he said. "This includes peaceful use of atomic energy, construction of renewable energy facilities, and extraction of mineral resources," Reshetnikov said.

"Agriculture, pharmaceutics, digitalization of the economy, urban environment and, obviously, tourism are the focus. We are ready to discuss all of that and solve problems with settlements and contacts between banks in our countries together," he said.

Russia is also interested in joint social projects, including those in education, science and healthcare, Reshetnikov said
Urusi au Belarus hapana, tutafute marafiki wengine lakini siyo hao.
 
Bado unaishi kwenye "Vita Baridi" mkuu 'John'?
Je, Unawafahamu vizuri Watu wa Urusi?
Uneshawahi kwenda na kuishi nchini Urusi au umewahi kuishi pamoja na jamii za Watu wa Urusi ?

Hata baadhi ya raia wa Urusi wenye akili timamu sawa sawa huamua kuikimbia Urusi au kuwakimbia Warusi wenzao na kwenda kuishi au kuwekeza miradi yao nje ya Urusi kwenye nchi ambazo Hakuna siasa za Itiikadi za Ujamaa/Ukomunisti.
 
Hakuna kitu hapo Mrusi anaitaka Bauxite yetu.. Ni malighafi adimu kwa ajili ya utengenezaji wa mabomu

In Tanzania, large bauxite deposits are observed in Mbeya and Tanga regions. The total estimate of bauxite reserves in Kidundai-Magamba and Mabughai-Mlomboza bauxite deposits in the Tanga region is about 37 million tons (Mutakyahwa et al., 2003) .
Hakuna cha bure dunia hii,,,hata hao unaowataka wewe wakija lazima wawe na kitu cha kuwapa manufaa pia
 
Je, Unawafahamu vizuri Watu wa Urusi?
Uneshawahi kwenda na kuishi nchini Urusi au umewahi kuishi pamoja na jamii za Watu wa Urusi ?

Hata baadhi ya raia wa Urusi wenye akili timamu sawa sawa huamua kuikimbia Urusi au kuwakimbia Warusi wenzao na kwenda kuishi au kuwekeza miradi yao nje ya Urusi kwenye nchi ambazo Hakuna siasa za Itiikadi za Ujamaa/Ukomunisti.
Umeuliza maswali mengi yasiyo kuwa na msingi wowote.
Kama wewe umeishi nao na kuwa na tofauti nao, unadhani wengine wote wanayo hisia kama yako?

Hasa sielewi mantiki ya hayo uliyo eleza hapa. Kwani urusi hawakuwahi kuwa na msaada kwa watu wengine? Hukumbuki msaada wao ukombozi kusini mwa Afrika?
Mbona watu wengi tu wamesoma na hata kuoa/kuolewa Urusi? Wewe walikufanyia kitu gani?
 
Ukombozi gani huo huko Kusini mwa Afrika?
 
Hakuna siasa za Itiikadi za Ujamaa/Ukomunisti
Alaaa!
Nilikuwa sijakusoma hadi mwisho. Kumbe shida yako ni hii?

Wewe utakuwa bado kasumba imekujaa sana kichwani kama bado umeshikilia mambo kama haya.

Kumbe sikukosea nilipo kueleza kuwa bado unaisha kwenye enzi za zamani.

Sasa wewe huoni hapo hao wanaotafuta kuwekeza hawana ukomunist; au ukomunisti kwako ni kitu gani?
 
Kuna kikundi cha wachekeshaji wanakibwagizo chao wanakwambia PIKA BOM💣.

Hii ni fursa kubwa sana kwa Tanzania kukua kiuchumi.

Rai yangu kwa wanausalama waangazie kwa jicho la tatu ni athari hasi zipi tutazipata kwaushirikiano huu na namna gani wanaweza wakacheza nazo (sukuma kete) ili tusijikute centre ya mapambano, maana maslahi yanagonganishwa hapa.

Waswahili wanakwambia umegonganisha mabwana.
 
Alaaa!
Nilikuwa sijakusoma hadi mwisho. Kumbe shida yako ni hii?

Wewe utakuwa bado kasumba imekujaa sana kichwani kama bado umeshikilia mambo kama haya.

Kumbe sikukosea nilipo kueleza kuwa bado unaisha kwenye enzi za zamani.

Sasa wewe huoni hapo hao wanaotafuta kuwekeza hawana ukomunist; au ukomunisti kwako ni kitu gani?
Nawafahamu vizuri Warusi, kwa jinsi ninavyofahamu, Warusi ambao wenye akili nzuri na timamu sawa sawa kabisa, KAMWE hawawezi kuja kuwekeza kwenye nchi kama Tanzania, kamwe haitatokea. Warusi wenye akili timamu sawa sawa kabisa huwa wanaenda kuwekeza kwenye nchi za Magharibi, kama vile Marekani au nchi washirika wake mfano: Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Canada, Australia, n.k. Fanya utafiti wako binafsi utakuja kukubaliana na Ukweli huu.
 
Wewe mtu unahitaji msaada mkubwa na akili za namna hii.
Hao "warusi wenye akili timamu", kama wewe siyo?

Hata hujui au hukumbuki hao hao wanalia hii leo kwa kuwekewa vikwazo na hao unao waabudu wewe?

Hata maana ya kuwekeza hujui? Kwenda kuwekeza kwenye timu ya mpira wa miguu unakulinganisha na kuwekeza mahali ambapo soko linainukia na uwekezajiwake bado ni nafuu kabisa, kama Tanzania?

Kama nilivyo eleza toka mwanzo. Tatizo lako ni kasumba tu! Umekariri prpaganda zilizo pitwa na wakati, kiasi kwamba inakuwia vigumu kuachana nazo?
 
Back
Top Bottom