Well said. Nitakutafuta nikupe bando la mwezi mzima.Hao sio viongozi wa dini ni wajasiliamali wa dini. Wahuni na wala sadaka tu!
Ila Bora Lissu awajue wanafiki wote ili akiingia ikulu ajue amsikilize kiongozi yupi wa dini!
Hawa watu wamefanya hata watu wasiwe na hamu tena ya kwenda kanisani wala msikitini.
Naona dini inatumika kisiasa
wiki iliyopita ilikuwa ni TAG, kisha baada ya hapo Taasisi za dini zikaitisha kongamano la kusifu utendaji wa serikali ya Magufuli na ghafla wiki moja baadae eti kuna kongamano lingine la kuombea uchaguzi kisha mualikwa ni Magufuli
Waache wafanye hii michezo yao ya kulifanyia propaganda jina tukufu la Mwenyezi Mungu waje waone mwisho wake! .
Mungu hadhihakiwi!
BAKWATA wanajengewa msikiti na ofisi kubwa na serikali, hivyo walijengewa ili watumike kwenye mazingira haya.
Ni kipindi cha viongozi wa dini kupiga pesa. CCM ikizidiwa, basi ni fursa kwa etrepreneurial religious leaders to make money
Smartphone unayoitumia hapo imetoka kwa mabeberuAcha sisi twende kwa maombi na yule msaliti wa nchi mwache aende na mabeberu
Saa mbili tu Lissu angepitaHivi si tupige tu kura hata kesho kuondoa huu ujinga.
Huyu sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam asipodhibitiwa atakuja kuiingiza hii nchi kwenye machafuko, inaonekana haya makombo anayorushiwa sasa yamedatisha kabisa! Mark my words.Vituko haviishi Tanzania, miaka mitano ya kwao tu peke yao bado wanaogopa! Mgeni rasmi wa nini kwenye tamasha la dini?
Mbona maombi ya Korona aliyasikilizaMungu hawawezi kusikiliza maombi ya watu wanafiki
Kwa kweli hizi ni story za viinimachoVituko haviishi Tanzania, miaka mitano ya kwao tu peke yao bado wanaogopa! Mgeni rasmi wa nini kwenye tamasha la dini?
Hakukuwa na haja ya kuwa na mgeni rasmi wa kisiasa ,huoni hiyo ni kumpigia kampeni kisirisiriNi wagombea wote mkuu, kuanzia ngazi ya Rais Hadi madiwani
Kwa hiyo wote wagombea urais watakuwepo wote bila shaka
Naona dini inatumika kisiasa
wiki iliyopita ilikuwa ni TAG, kisha baada ya hapo Taasisi za dini zikaitisha kongamano la kusifu utendaji wa serikali ya Magufuli na ghafla wiki moja baadae eti kuna kongamano lingine la kuombea uchaguzi kisha mualikwa ni Magufuli
Waache wafanye hii michezo yao ya kulifanyia propaganda jina tukufu la Mwenyezi Mungu waje waone mwisho wake! .
Mungu hadhihakiwi!
Mungu hawawezi kusikiliza maombi ya watu wanafiki.
Huu ni Uhuni au ni Propaganda za kidini!?
Kampeni zimepamba moto mwaka huu.Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi.
Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais Magufuli.
Source: Star TV habari.
Maendeleo hayana vyama!
Halafu kumuhusisha mungu kwenye issue za kijnga jinga kama hizi tuacheShehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi.
Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais Magufuli.
Source: Star TV habari.
Maendeleo hayana vyama!