Wanahabari tuna jambo letu
Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari.
ποΈ 18-19 Juni, 2024.
Kikao Kazi cha Maafisa Habari wa Serikali.
ποΈ 20-22 Juni, 2024.
Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalikwa tukutane Dar es Salaam.
Ni jambo la maafisa habari wa serikali. Watalipwa 100,000 mara siku Kisha watarejeshewa nauli na per diem watakaosafiri zaidi ya masaa 6. Atakaekamba mtonyo mdogo ni laki 7!!