Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe kwenu

Nimewaza mbali sana

Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu

Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana

Sasa nimekuja na suluhisho moja tu na suluhisho hilo moja tu linaenda kutamatisha hii vita ndan ya dakika mbili tu

Watu wa kongo na goma wakubali kuwa watanzania na Kisha goma iuuzwe kwa TANZANIA Kisha Tanzania imalize show mara moja kibabe sana

Kisha JW iingie mzigon kupambana na hawa wahuni

Very simple

LONDON BOY
 
Unataka kuchezea ndevu za Kagame mkuu! Kile kumejaa Banyamulenge ambao kiasili ni Watusi!
 
haya ni maajabuu .. .kama umeshiba usiwatukane wenye njaa mkuu....pressure alionao congo hatuiwezi hata robo waangalie jinsi wanavyoteseka shukuru kwa amani yako mataifa zaidi ya 8 wanascrumble na kufadhili vikundi vidogo vidogo (tactical ,manpower,silaha wako vizuri, technology and communication)mind you sio panyaroad
 
Hivi ukisikia DRC wako wote wakubwa wanachota madini huamini? Hivi wanabongo mnaweza kupambana na France, UK, US, German, Russia, China, na wengine wakubwa?
Nb.
Jeshi la Kongo sio dhaifu kama ifikiriwavyo but support ya mabwana wakubwa hasa silaha nzito ni kikwazo kikubwa. Kuna kipindi BBC walimnukuu kamanda mmoja alisema M 23 Ina sila nzito kuliko jeshi la taifa Hilo!
Wabongo kaeni Kwa kutulia vita sio gwaride la kuonesha tofali zikivunjwa. Vitani Kuna sadaka kubwa yA damu. Mtapoteza vijana bila faida yotote ya maana!
 
Unaweza kulinda korido zako zisivurugwe kipindi umeenda kulinda za mwenzako.
Kulinda kwako Ni kuwaletea vurugu katika kazi zao.
 
Back
Top Bottom