Hivi ukisikia DRC wako wote wakubwa wanachota madini huamini? Hivi wanabongo mnaweza kupambana na France, UK, US, German, Russia, China, na wengine wakubwa?
Nb.
Jeshi la Kongo sio dhaifu kama ifikiriwavyo but support ya mabwana wakubwa hasa silaha nzito ni kikwazo kikubwa. Kuna kipindi BBC walimnukuu kamanda mmoja alisema M 23 Ina sila nzito kuliko jeshi la taifa Hilo!
Wabongo kaeni Kwa kutulia vita sio gwaride la kuonesha tofali zikivunjwa. Vitani Kuna sadaka kubwa yA damu. Mtapoteza vijana bila faida yotote ya maana!