Kongo DRC wauze Goma kwa TANZANIA, Kisha sisi TANZANIA tushughulike na hao M23, is very simple

Mtoa mada umeshiba viazi vitamu na magimbi apo kwa shemeji yako.
Baada ya kushiba umeamua kuleta uzi uku.
 
Yani sie tupigwe na vibaraka wa rwanda.,, we kweli kichaa,, hiyo rwanda yenyewe inaowatuma hao M23 hawana ubavu wa kupambana na wamba watano tu wa pale ngerengere
Msichojua tu, huyo PK 2015 kachezea Sana na tukamrudisha Nkurunzinza. Au mnadhani aliibukia kule kutoka hewani? Na tulimuonya tukiwa kwake. Vijana walitwanga wale waliopindua mpaka ndani kwa PK
 
Kuliko hata Saudi Arabia?
Jeshi la Saudia lina nguvu pia ila halifikii la Misri broo.

Ukiangalia nguvu ya jeshi la anga tu kwa mfano, Misri inazo F-16 zaidi ya 200, (Saudi Arabia na South Africa hawana hizo). Na jumla ya ndege za kivita zinazomilikiwa na Misri ni zaidi ya 500.


The Egyptian Air Force (EAF) has around 579 combat aircraft, including F-16s, Mirage 2000s, and Rafale fighters.

The EAF is the aviation branch of the Egyptian Armed Forces.

AIRCRAFT IN the EGYPTIAN AIR FORCE
F-16 Fighting Falcon: The backbone of the EAF, with 216 F-16s and 20 on order.

Mirage 2000: A modern interceptor used by the EAF.

Dassault Rafale: A French twin-engine fighter aircraft.

MiG-21: An extensively upgraded aircraft used by the EAF.

F-7 Skybolts: An aircraft used by the EAF.

F-4 Phantoms: An aircraft used by the EAF.

Dassault Mirage Vs: An aircraft used by the EAF.

C-130 Hercules: An aircraft used by the EAF.

The EAF also has two helicopter carriers and 92 attack helicopters.

Other aircraft used by the Egyptian Air Force: Dassault-Dornier Alpha Jet and Dassault Falcon 20.
 
Ni kweli sisi tulio mpakani mwa Tz JWTZ wako vizuri yaani hao jamaa ni shida
 
Wazo lako siyo la ki PanAfricanist..limekosa sentiment ya kimajumui..
Naheshimu wazo lako lakini Kuna hatari sana kwa utekelezaji wa hilo jambo lako:
Kwanza itasababisha nchi zenye nguvu kijeshi kuhalalisha ukwapuaji wa maeneo kwa kuhadaa watu wachache hata kama wengi wao watakuwa na msimamo tofauti nao..tumeyaona yaliyotokea Urusi na Ukraine tangu 2014, 2022 hadi sasa...
Hapa Afrika Kuna nchi kama Al Masri, Algeria, kwasababu ya nguvu zao kijeshi,nchi zenye migogoro mfano wa kongo zinaweza kuwa Victims wa kukwapuliwa..
Pia tukumbuke misingi ya waasisi wetu juu ya creation of the United states of Afrika under one President,we should fight to make that aim achievable. Tusianze kununuana na kuleta taharuki kwenye jumuiya yetu ya Afrika Mashariki,ndugu yako akipata matatizo msaidie,usianze kununua vitu vyake,hiyo ni laana.
 
Hivi yule Ibrahim Traole kawezaje?
Mpk E . Macron haamini anachokiona
 
Hapana kaka hapana lazima tukatoe kichapo cha kizalendo

Hayo sisi hayatuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…