Moto wa volcano JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 2,682 Reaction score 6,638 Jul 10, 2026 #1 Hii ni kubwa sana , hongera kwa Event organiser wa old xcul Bongo flava 30 yrs, tunapata burudani na kumbukumbu za wayback .
Hii ni kubwa sana , hongera kwa Event organiser wa old xcul Bongo flava 30 yrs, tunapata burudani na kumbukumbu za wayback .
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,915 Reaction score 23,531 Jul 10, 2026 #2 Hongera audience kwa kukataa kua toilet papers
Moto wa volcano JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 2,682 Reaction score 6,638 Jul 10, 2026 Thread starter #3 spidernyoka said: Hongera audience kwa kukataa kua toilet papers Click to expand... Wa Bongo noma , hawataki siasa kwenye burudani
spidernyoka said: Hongera audience kwa kukataa kua toilet papers Click to expand... Wa Bongo noma , hawataki siasa kwenye burudani
Eswa JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 309 Reaction score 908 Jul 11, 2026 #4 Huu uandishi wa kutumia x badala ya s ni wa kijinga na kipuuzi sana. Hoja yako ilikuwa nzuri ila imekuwa ya kipuuzi na kijinga kwa uandishi wako
Huu uandishi wa kutumia x badala ya s ni wa kijinga na kipuuzi sana. Hoja yako ilikuwa nzuri ila imekuwa ya kipuuzi na kijinga kwa uandishi wako
Moto wa volcano JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 2,682 Reaction score 6,638 Jul 11, 2026 Thread starter #5 Eswa said: Huu uandishi wa kutumia x badala ya s ni wa kijinga na kipuuzi sana. Hoja yako ilikuwa nzuri ila imekuwa ya kipuuzi na kijinga kwa uandishi wako Click to expand... Thats a slang my nigga 😃😃 Acha pigo za kizee , hiyo old xcul inatumika sana hata na bloggers online
Eswa said: Huu uandishi wa kutumia x badala ya s ni wa kijinga na kipuuzi sana. Hoja yako ilikuwa nzuri ila imekuwa ya kipuuzi na kijinga kwa uandishi wako Click to expand... Thats a slang my nigga 😃😃 Acha pigo za kizee , hiyo old xcul inatumika sana hata na bloggers online