pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kuna ile dhahabu ya Sawe kwenye high jump, na nyingine kwenye 30km walk. Hapan cheza na TeamKenya!hahaha nilifurahi sana kwanza tuliwaonyesha vumbi hata kwenye short distance races kama 4X400m...teamkenya hawataki mchezo aisee
View attachment 828468View attachment 828468
Kongole kwa wanariadha wetu wa tanzania kwa kukimbia mashindano..
Mbona wasitoroke jombaa? Sio kwa hali hii! [emoji1]Pona yenu Wakenya ni kwamba Watanzania walitoroka na kugeuza, bure wangechukua medali zote hizoooooo......
Dah! Kenya bana!!!! Hongera