Kongole Kwa Wanariadha Wetu, Kwa Ushindi Wao Kule Asaba, Naijeria

Kongole Kwa Wanariadha Wetu, Kwa Ushindi Wao Kule Asaba, Naijeria

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
ASABA-2018-final-medals-table.png
Habari ndio hiyo! Kama orodha ya medali inavoashiria. Kenya iliongoza kwenye mchuano wa riadha, African Senior Athletics Championship ambao uliisha hiyo jana kule Asaba, Nigeria. Kenya hoyeeeee!
hqdefault.jpg
 
Pona yenu Wakenya ni kwamba Watanzania walitoroka na kugeuza, bure wangechukua medali zote hizoooooo......

Dah! Kenya bana!!!! Hongera
 
Back
Top Bottom