Kongole Masudi Kipanya kwa Ubunifu, hii ni challenge kwa wasomi

Kongole Masudi Kipanya kwa Ubunifu, hii ni challenge kwa wasomi

Practical kabisa kuna project nyingi wanafanya mwaka wa mwisho,ila zina ishiaga vyuoni.
sasa unachobisha nini? mimi nakwambia jamaa hajasoma na kaonyesha njia sasa unashupaa sijui unataka kutuaminisha nini hapa, kiufupi hata sisi tumesoma tukaona hakuna manufaa kulamba lamba watu miguu tuaamua kusepa nchi , hakuna wasomi huko ni crap tu, hayo ma theory yalishawahi kufanya maajabu gani
 
Jamaa hajasoma ila kaonyesha njia ......? kwani ka design yy au kaimplement yy?
 
Tanzania ya viwanda inawezekana kupitia ubunifu wa watanzania wenyewe na si vinginevyo
Ni vyema sasa Taifa likamtumia masudi kipanya kuiweka technology yaje wazi na kuzalisha vijana zaidi kutengeneza na kubuni matumizi zaidi ya Nishati kama gas na kwakuwa gas tunayo itakuwa vzr zaidi
 
Wanafanya sema nini mkuu hawapewi nafasi. Wameshafanya research nyingi sana zinaishia kutunzwa kabatini. Siasa ndio zinaharibu kupewa nafasi zaidi huku utaalam ukitupwa pembeni.
Siamini mpaka nijionee mwenyewe, wasomi wa Tanzania ni sawa tu na wasanii wa bongo movie (fake).
 
Back
Top Bottom