Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Watoto wanaonyesha umahiri mkubwa sana juu ya walichojifunza mashuleni
Academic improvement kwa watoto wetu imeimarika sana na inatia moyo mno...
Uelewa na ufahamu wa watoto wetu katika kusoma, kuhesabu, kuandika, sayansi na stadi za maisha umeongezeka sana
Watoto wanapenda kusoma, wanabidii ya kujifunza, na kwakweli wako bize kukamilisha homeworks mlizowapatia. wanatamani shule zifunguliwe, warudi waendelee kujifunza na kuchota maarifa mbalimbali kutoka kwenu 🐒