Kongole sana Peter Msechu

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
This young man is a good artist sijui kwanini hakubaliki sana kwenye contemporary bongo music. Nimeusikiliza wimbo wake 'umetuacha imara' kama tribute to the late JPM nikagundua he's a smart singer kuliko hata wimbo wa akina mond na wenzake pia ngoma zake nyingi ziko bomba and he has the vocals.

Disclaimer: picha sio yangu ya mwenye picha yake alieipiga Dodoma huko.
View attachment 1731973

 
Kwahiyo unaendeshwa na matukio kwa akili hii unaweza ukaja sema Harmorapa msanii bora kuliko Kiba akitoa nyimbo kali.
 
Apunguze uzito
 
Kwenye mziki wa kisasa, kipaji pekee ama vocals sio kitu tosha kitakachompa msanii mafanikio.

Nikupe mfano tu, Peter Msechu unamsikia kwenye matukio kama haya ya msiba, lakini rotation ya nyimbo zinazopigwa kila siku kwenye chat yupo?

Hana consistency kwenye game hawezi kupewa front row seats kama Diamond au mwingine...
 
Alafu uwezi fananisha nyimbo ya wasanii wote na msanii mmoja, unapokuja kuangalia wimbo wa msanii mmoja linganisha na msanii mmoja kama Vanny, Jux maana uwo wa wote hata uyo msechu alikuwepo.

Usanii bora hauwendi kwa wimbo mmoja wapo wasanii waliodanya vizuri kwenye nyimbo moja Sam Waukweli Sina Raha, Mo Music Basi nenda...usanii bora ni all time kama Mond
 
Sawa, itakuwa tu mpangilio wangu lakini nalenga kusema kama individual artist he's underrated. Hao kina mond mbona hawana viwango japo vya kuwafikia artists wengi tu humu nchini,good management inamsaidia
 
Ni bonge la musician ana high pitch mama Maher Zain sema kwa Hii Ekweme Cover kazingua Kiukweli
 
Tatizo la Msechu ni Msechu mwenyewe watu wanamkubali ila yeye hana time nao
 
Ni sahihi nakubaliana nawe huyu chibonge anakosa consistency of which nawaza kwamba possible hana good management
 
Marehemu mlikuwa Mnampa sifa kuliko Mola wenu... nadhani mlikuwa mnamchongea
 
yes, mpaka sasa nimeona wimbo wake wa maombolezo wa the late John Magufuli ndio mkali kuliko nyimbo zote!
 
Mkuu hii picha uliyoweka ni ya zamani sana picha yake ya jana akiwa msibani hii hapa..
 

Attachments

  • IMG-20210322-WA0014.jpg
    15.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…