Kongole sana Peter Msechu

cha ajabu unaowasikia kwenye chat wanaishia utube
na wewe binafsi hauwezi toa hela kununua nyimbo zao kwenye streams mbalimbali, so wanapataje hela?

umesema sahihi is not about vocals kuna vingi sana, katika hivyo vingi hauwezi mlaumu tu mtu


wanaofaidika na muziki wanajijua

Tanzania ina vipaji vingi sana
 
Hakuna kitu,wimbo mbaya,kwanza umekopiwa kutoka kwenye wimbo wa msanii wa Nigeria,
Zaidi ameongeza makelele tu,
Hakuna wimbo wowote kwenye msiba uliokuwa na mvuto wa kugusa hisia,kilichoonekana ni kama kwamba kila msanii alikuwa anataka kumpiku mwenzie kwa kutayarisha wimbo fasta fasta,mwishowe nyimbo zote zikawa za hovyo.
Sasa unakuta wasanii wapo watano,harafu wanajiita "all star"nikashangaa na Dangote Mond naye akaingia kwenye mkumbo huo na kushindana kutunga wimbo wenye maana.
 
Umesema kweli , nyimbo zote za hovyooo , ukurupakaji Tu na kujilamba midomo , nothing new ..... Komba atabaki kuwa komba ...
 
Wanasahau trending ya hizo nyimbo n za muda mfupi sana. Baada ya mazishi hakuna wa kusikiliza. Sjui wakoje
 
Kuna yule aliekopi sauti na midundo ya Ekueme sasa hapo kikazi ni kosa kubwa sana..Sijui kama anajua kosa alilofanya kisheria.Ila Inaonyesha tu wasanii tulionao hawawezi kujifunza na sio wabunifu
Je kama kawasiliana naye ? Au unataka atangaze kuwa nimeomba kutumia mdundo wa.msanii fulani? Watanzania tusiwe hivyo!
 
Atulie atunge nyimbo moja kali ya msiba itakayoishi, Tutabaki kupiga nyimbo za Kenya kila mara maana jamaa wapo vizuri kwenye songs zinazolast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…