Kongole sana Peter Msechu

Kongole sana Peter Msechu

Pole ndugu yangu. Kugundua kuwa una akili ndogo ni mwanzo wa kuanza kupata solution. Jaribu kuwa unajisomea somea usikate tamaa pia. Pole sana.
Wewe ndio natakiwa nikupe pole...hoja hujibiwa kwa hoja..ugoro hujibiwa kwa ugoro

Mbona kamanda hapo juu amejibu kwa hoja nikamuelewa.

Alafu suala la kujisomea somea unatakiwa uanze wewe...mimi nimeshakuwa mkongwe huko, na nimefahamu mengi + inteligence usiyo iweza au kuifahamu..sijisifii ila nimeamua kukupa mwanga ili kama unataka kuendeleza mtanange huu,huko mbeleni ujue unabatle na mtu wa aina ipi.

Shukrani
 
Peter Msechu anacopy nyimbo tu ,hata huo wimbo unaopewa promo amecopy melody ya mdada mmoja hivi unaimbwa "ehe khuma khuma khumamaeee"
Nimeupata ni ule wa ...

Ekuemee Ekuemee...your the living God oooh,Eze no one like you

Ule wimbo una hisia vibaya mno..sijui jamaa alifikiria nini
 
Kuna yule aliekopi sauti na midundo ya Ekueme sasa hapo kikazi ni kosa kubwa sana..Sijui kama anajua kosa alilofanya kisheria.Ila Inaonyesha tu wasanii tulionao hawawezi kujifunza na sio wabunifu
 
Ila ngoma ya Msechu ya maombolezo ya msiba inaleta hisia sana.

Japo mimi sikukubali trait za utawala husika katika nyanja wa ajira wimbo huu unanitoa machozi.
Niko pamoja na ww.
 
Ngoma kali kuhusu Magu itakayodumu japo iliimbwa mwaka jana ni ya MADEE - HADITHI
 
Huu wa Msechu kesho nitautafuta maana naona kila mtu anausifia.
 
Wewe ndio natakiwa nikupe pole...hoja hujibiwa kwa hoja..ugoro hujibiwa kwa ugoro

Mbona kamanda hapo juu amejibu kwa hoja nikamuelewa.

Alafu suala la kujisomea somea unatakiwa uanze wewe...mimi nimeshakuwa mkongwe huko, na nimefahamu mengi + inteligence usiyo iweza au kuifahamu..sijisifii ila nimeamua kukupa mwanga ili kama unataka kuendeleza mtanange huu,huko mbeleni ujue unabatle na mtu wa aina ipi.

Shukrani
Alafu❌
Halafu✅

Inteligence ❌
Intelligence✅

Unabatle❌
Una- battle✅

Mpaka hapa nimeshajua nabishana
na kilaza😂😂😂😂 . I just wanted to know what kind of person you are. Now I have known and I can lay down the case. Ndo maana umeamua uje kujisifia huku Mchechu. Kuwa unalia sana....😂😂😂😂😂 So what? We dont know you. If you are a good mourner how does this benefit the society? You are so pathetic,Moron.😂😂😂😂
 
Wakuu nimefuatlia nyimbo mbalimbali walizotunga wasanii wetu kwa ajili ya maombolezo ya marehemu JPM, kwangu mimi nimechagua wimbo wa Peter Msechu "Umetuacha imara" kuwa bora zaidi.
Siyo tu kwamba una ujumbe mzuri au mashairi mazuri au kutia simanzi ila pia una melody ya kuvutia sana.
Kwangu mimi huu ndo wimbo bora wa maombolezo ya JPM, kwako vipi?
 
Back
Top Bottom