Kongole sana Peter Msechu

Kongole sana Peter Msechu

We ndo huyo peter mchechu mwenyewe? Unahusika na nini? Unatakiwa uwe mvumilivu ili uje usifiwe.unataka teuzi?sasa kila mtu akilia sana kwenye msiba akipewa cheo si itafikia hatua itakuwa changamoto we mchechu?
 
Watu wamemaind kuona anasifiwa Msechu huku mastaa wao wamepotezewa kwa kupuyanga!!.
Hahaha..hakika

Penye ukweli lazima tuseme ukweli,kupongeza lazima tupongeze.

Siku zote kumpongeza mmoja wapo wa kundi ni kumotivate wengine wafanye juhudi zaidi na sio chuki.
 
Wakuu Habarini

Katika pitapita zangu nimekutana na moja ya comment zikimpa kongole Peter Msechu kwa nyimbo zake katika kipindi hiki cha msiba wa Taifa,nami nimeamua kuleta hapa kama maoni ya mdau.


Inasema hivi.....Wasanii wa Tanzania nimegundua kumbe hamna uwezo kabisa, yani mmeshindwa kutunga nyimbo nzuri zenye hisia kuhusiana na msiba wa JPM?

Angalao Peter Msechu kidogo ila wengine kelele tu na kuvaa mavazi meusi, mnachoweza kuimba ni kusifia tu ngono... Kumbukeni enzi zile za Hayati J.K. Nyerere bado teknolojia ilikuwa chini sana lakini wasanii wa kipindi kile kama Hayati Capt. John Komba aliimba nyimbo zinazoishi hadi kesho pamoja na kwamba alikuwa na umri mkubwa lakini kipaji kilionekana kwake.

Ila ninyi na teknolojia iliyo juu bado mnapiga makelele studio, mmelemazwa na mashairi ya mapenzi... Kongole kwako #Peter Msechu pamoja na kwamba una unene wa hali ya juu yani wa kiwango cha lami ila inadhihirisha hata akili yako ni nene (kubwa)[emoji120][emoji120][emoji120][emoji7][emoji1241]
Peter Msechu anacopy nyimbo tu ,hata huo wimbo unaopewa promo amecopy melody ya mdada mmoja hivi unaimbwa "ehe khuma khuma khumamaeee"
 
yes ile nyimbo ya msechu naikubali..!! ila hawa wengine sikujua wanaimba ishu gani..!! ila ya msechu ni iko vizur aiseeh kajitahidi sana
Hakika Mkuu,wengine wanadhani kumsifia mtu ni kuweka chuki..ni kuhamasisha wengine kujitahidi zaidi
 
We ndo huyo peter mchechu mwenyewe? Unahusika na nini? Unatakiwa uwe mvumilivu ili uje usifiwe.unataka teuzi?sasa kila mtu akilia sana kwenye msiba akipewa cheo si itafikia hatua itakuwa changamoto we mchechu?
Matatizo la kuwa na akili ndogo ndo haya...kapumzike
 
Ila ngoma ya Msechu ya maombolezo ya msiba inaleta hisia sana.

Japo mimi sikukubali trait za utawala husika katika nyanja wa ajira wimbo huu unanitoa machozi.
 
Ameimba vizuri..wimbo pia pamoja na kuomboleza pia unaleta faraja na matumaini ya kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom