Kongole Wallace Karia kwa Uongozi madhubuti

Kongole Wallace Karia kwa Uongozi madhubuti

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nani kama wewe Mkuu wa Kazi, umesimama imara ktk kuhakikisha mpira wa Tanzania haujinasiwi na makanjanja ...

Katika awamu yako tumeshuhudia timu za taifa mbalimbali zikifanya vizuri, tumefuzu world cup ya wadada U17 pale India,

tukija kwa upande wa Sponsorship ktk ligi yetu kuu pia ume perform vizuri zaidi, ligi imekuwa kubwaa na popular, ligi imekuwa ni chanzo cha ajira kwa vijana wenye vipaji, leo tunashuhudia mcheza mpira analipwa mshahara kama wa Professor aliyeko chuo kikuu,

Sasa ktk upande wa kusimamia sheria hapo sasa ndipo unapo upiga mwingi sanaaa mkuu wa kazi, yaan makanjanja wasio heshimu sheria na taratibu umewakomesha vilivyo, waropokaji nao ndio kama hivi una wasweka tu lumande, wanao kiuka unapaswa uwa Top up vifungoo mkuu wa kazi,
 
mwambieni akimaliza urais wake ataozea jela, mafaili yake yashaandaliwa, wanaomshangilia lleo hawatomsaidia lolote wakati huo.
 
Back
Top Bottom