Yas wanajitahidi Sana Upande wa renovation yani Wana service Fulani nzuri nzuri hata Lipa namba yako na App pia ni nzuri
Saivi naona wamekuja na huduma ya Kujua aliyekupigia wakati upo offline ila pia uliyempigia akiwasha simu unaletewa pia ujumbe kuwa mteja uliye karibu kumtafuta kwa sasa yupo hewani!!
Sio kila kitu unachotengeneza lazima kiwe tofauti. Kuna muda unatakiwa ujifunze kutoka kwa aliyefanya vizuri zaidi.
Nimekuwa nikitumia Merchant Account za Yas, Vodacom na Airtel kwa biashara zangu, na kwa uzoefu wangu, upande wa Merchant Account, Yas wamewapita mbali sana hawa wawili.
Kitu cha kwanza walichofanya vizuri ni usajili.
Una line yako ya kawaida ya Yas? Basi hiyo hiyo unaweza kuitumia kufungua Merchant Account kupitia Mixx by Yas. Hakuna usumbufu wa kuambiwa utafute line nyingine, hakuna kuanza upya mchakato wa usajili.
Kiukweli Yas by then Tigo and previously Buzz preceded by Mobitel have been the market leaders regarding value added services in telecom in Tanzania. Wengine huja kuzinduka na kuiga baadaye sana!
Mnakumbuka vifurushi wanafunzi wa vyuo enzi hizo? They innovated that wengine wakaja baadaye. Na mengine kadhaa.