Bekomadale
Member
- Aug 2, 2021
- 26
- 11
Haliuzwi bossUkiwa unaliuza utanijulish
Linakodishwa kama duka ama kama nyumba?Kontena la ft 20 x 40 linapangishwa....lipo kando ya barabara ya lami( inaangaliana na barabara) mabibo Makutano.
Kodi 90000 kwa mwezi.
Mazungumzo yapo. Hakuna dalali mmiliki ni mimi mwenyewe.
0685510781
Kama fremu ya biasharaLinakodishwa kama duka ama kama nyumba?
Picha vipi mzeya lakiniKama fremu ya biashara
Nitaiweka hapa very soonKama fremu ya biashara