Konyagi chunguzeni huenda ziko fake mbona hazileweshi

Konyagi chunguzeni huenda ziko fake mbona hazileweshi

Nikitaka kunywa konyagi bora nikaichukulie kiwandani kabisa, uchakachuzi wa pombe kali unatisha. Zamani nilikua napiga bapa saizi ya kati asubuhi naamka mapema bila hangover, ila hizi za kuchakachua nikipiga hilo bapa asubuhi naamka kama nimebeba viroba usiku kucha. Kunywa bapa saiz labda kwenye 4 - 5 star hotel, huku mtaani bora hanson's choice
 
Kongagi zina namba man...

Namba 21 kwenda mbele ni maji tupu.

Ngongq kuanzia moja had 20 utakuja simulia...
Ila jibapa la no 11 ni kaz kaz,[emoji1]
Hiyo sioo kweli!!! Kuna aina moja ya konyagi labda zile Fusion!! Niletee konyagi ndogo zinazotofautiana!! Lakini kubwa, kuna mengine yananuka kama marashi ya pemba!! Afu wauzaji wanajua ukichachamaaa wanakubadilishia mmmmae zao
 
Mimi nikipewaga hizi za kunjunga chapu nawawashiaga moto wanabadili,ila ukiona konyagi haina muhuri pale karibia na shingo yake hiyo itupe haraka sana,ni usenge kama ulivyo usenge mwingine tu
 
Mimi nikipewaga hizi za kunjunga chapu nawawashiaga moto wanabadili,ila ukiona konyagi haina muhuri pale karibia na shingo yake hiyo itupe haraka sana,ni usenge kama ulivyo usenge mwingine tu
vinywaji feki chanzo cha magonjwa ya figo moyo na maini ...ndo maana wagonjwa wamekua wengi sana siku hizi
 
Sina uhakika ni aidha kichwa changu ndo kimekuwa sugu ama vipi.Hasa lile jibaba kubwa unalipiga lote na hulewi.

Binafsi mimi kila siku najilipua nyagi kubwa ila nakunywa maji mengi sana lazima ninywe likonyagi na maji makubwa mawili kuanzia week hii halileweshi k vant siitaki.
kwani huwa unakunywa kusudi ulewe?
 
Back
Top Bottom