Kweli kabisa [emoji24][emoji24][emoji24]Lazima ifidiwe, watu wanakula loan mpaka kwenye Pension funds tufanyeje...
Huwez endesha ZX au VXR kwa kusubiria Mia mia za kina Mshana Jr[emoji23]
Kwa taarifa yako kwa sasa kuna Konyagi (750M) fake nyingi kuliko OG!! Naaamini wafanyakazi wa kiwandani ndo wafanya mafyekeche
Hiyo sioo kweli!!! Kuna aina moja ya konyagi labda zile Fusion!! Niletee konyagi ndogo zinazotofautiana!! Lakini kubwa, kuna mengine yananuka kama marashi ya pemba!! Afu wauzaji wanajua ukichachamaaa wanakubadilishia mmmmae zaoKongagi zina namba man...
Namba 21 kwenda mbele ni maji tupu.
Ngongq kuanzia moja had 20 utakuja simulia...
Ila jibapa la no 11 ni kaz kaz,[emoji1]
Ndo maana ake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiwingu kinaleta upinzani mkubwa sana sokoni.. Sasa hivi Smart anasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
vinywaji feki chanzo cha magonjwa ya figo moyo na maini ...ndo maana wagonjwa wamekua wengi sana siku hiziMimi nikipewaga hizi za kunjunga chapu nawawashiaga moto wanabadili,ila ukiona konyagi haina muhuri pale karibia na shingo yake hiyo itupe haraka sana,ni usenge kama ulivyo usenge mwingine tu
kwani huwa unakunywa kusudi ulewe?Sina uhakika ni aidha kichwa changu ndo kimekuwa sugu ama vipi.Hasa lile jibaba kubwa unalipiga lote na hulewi.
Binafsi mimi kila siku najilipua nyagi kubwa ila nakunywa maji mengi sana lazima ninywe likonyagi na maji makubwa mawili kuanzia week hii halileweshi k vant siitaki.