Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,233 Reaction score 51,648 Mar 8, 2021 #21 Msiwahusishe akina mama na ulevi
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,765 Reaction score 4,879 Mar 8, 2021 #22 Yajayo yanafurahisha
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 3,676 Reaction score 5,895 Mar 8, 2021 #23 Haina shida watakunywa wanawake
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Mar 8, 2021 #24 Bujibuji said: Konyagi Passion na Ukwaju zirudi, ziwe na picha ya binti, wanaume acha tubakizwe na Faru John wetu Click to expand... Naunga mkono wazo
Bujibuji said: Konyagi Passion na Ukwaju zirudi, ziwe na picha ya binti, wanaume acha tubakizwe na Faru John wetu Click to expand... Naunga mkono wazo
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 3,418 Reaction score 13,000 Mar 8, 2021 #25 Sasa hiyo nembo wangeibandika kwenye kischana alafu faru joni wamuache kama alivoooooo anaheshma zake yule.
Sasa hiyo nembo wangeibandika kwenye kischana alafu faru joni wamuache kama alivoooooo anaheshma zake yule.
Kelevra JF-Expert Member Joined Nov 23, 2018 Posts 1,054 Reaction score 2,017 Mar 8, 2021 #26 Ile nembo ya yule jamaa ihamie kwenye Double kick sasa konyagi tuwaachie kina dada na kina mama sasa...nasema uongo ndugu zangu?
Ile nembo ya yule jamaa ihamie kwenye Double kick sasa konyagi tuwaachie kina dada na kina mama sasa...nasema uongo ndugu zangu?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 8, 2021 #27 Business tactics... ubunifu mzuri...
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,523 Reaction score 30,084 Mar 9, 2021 #28 Smart911 said: Business tactics... ubunifu mzuri... Click to expand... Udhalalishaji wewe unausifia! Watanzania huwa hatujitambui ndiyo maana huko viwandani vibarua huwa wanachapwa viboko kwa kuchelewa na wenzao wanachekelea!
Smart911 said: Business tactics... ubunifu mzuri... Click to expand... Udhalalishaji wewe unausifia! Watanzania huwa hatujitambui ndiyo maana huko viwandani vibarua huwa wanachapwa viboko kwa kuchelewa na wenzao wanachekelea!
kanchibay JF-Expert Member Joined Jan 4, 2019 Posts 671 Reaction score 692 Mar 9, 2021 #29 Siku ya wanawake ni moja, zilizobaki ni za wanaume hivyo muwewatuliv katika kipind hich kigum cha kujimwambafy
Siku ya wanawake ni moja, zilizobaki ni za wanaume hivyo muwewatuliv katika kipind hich kigum cha kujimwambafy