matabibu wanakuja vumilia kidogoHuu ni ugonjwa gani? Nini kinasababisha?
Kama unameza mate unakuwa kama unameza mchanga, koo linakwanguka hivi.
Imesababisha kupiga chafya kwa wingi na kulundikana makamasi mazito puani.
Wataalamu tafadhali.
Pole waone madaktari watakusaidiaHuu ni ugonjwa gani? Nini kinasababisha?
Kama unameza mate unakuwa kama unameza mchanga, koo linakwanguka hivi.
Imesababisha kupiga chafya kwa wingi na kulundikana makamasi mazito puani.
Wataalamu tafadhali.
Mi najihisi Kama kitu kukwama kooni nikimeza mate mkuu. Tatizo ni Nini??Na je, unajihis kitu kama kukukwama kooni ukimeza mate?
Mi mwenyew muhangaMi najihisi Kama kitu kukwama kooni nikimeza mate mkuu. Tatizo ni Nini??
We ili tatizo limekuanza lini.Mi mwenyew muhanga
Mi najihisi Kama kitu kukwama kooni nikimeza mate mkuu. Tatizo ni Nini??
Mi najihisi Kama kitu kukwama kooni nikimeza mate mkuu. Tatizo ni Nini??