Koo kukauka kwa ndani.

Koo kukauka kwa ndani.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Huu ni ugonjwa gani? Nini kinasababisha?

Kama unameza mate unakuwa kama unameza mchanga, koo linakwanguka hivi.

Imesababisha kupiga chafya kwa wingi na kulundikana makamasi mazito puani.

Wataalamu tafadhali.
 
matabibu wanakuja vumilia kidogo
 
Huu ni ugonjwa gani? Nini kinasababisha?

Kama unameza mate unakuwa kama unameza mchanga, koo linakwanguka hivi.

Imesababisha kupiga chafya kwa wingi na kulundikana makamasi mazito puani.

Wataalamu tafadhali.
Pole waone madaktari watakusaidia
Kama hujaambiwa una bakteria kwenye koo
 
Nenda hospital ww, hapa hamna dawa wiki iliyopita nlipata tatizo Kama lako nikafika hospital nikapewa dawa za kutosha kwasasa nadunda tuu
 
Back
Top Bottom