magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
acha uzamiaji mkuu..ni hatari kwa afya yako na koo lako kwa ujumla!!!
Tafadhari Nenda haraka sana hospitali kapime UKIMWI
Salam. Si kila dalili ni za HIV! Acidity ikizidi tumboni unakuwa unakohoa kila mara na kama una infection kifuani pia husababisha.