magombe junior
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,018
- 1,042
Niwasalim kwa heshima zote..
Nina karibu miaka mitano (5) nimekua na tatzo la koo kuwasha na kunifanya nikohoe kila wakat...
Kikohoz hua kinazid nnapokua kwenye maeneo ya barid (kwa mfano sehem zenye ac) au ninapokunywa kitu cha barid...naona kama kuna makohozi ambayo kila nikijitahid kukohoa yatoke hayatok (hayaishi)....
Naomba kujua huu ni ugonjwa?,,na kama ndio ni ugonjwa gan na una madhara gan ya muda mrefu na mfup
Nawasilisha