Koo linaniteasa

Nikibeua natoa harufu mbaya an nalazimika kutembea na bablish
Inawezekana ulichanganya vyakula - sasa vimetengeneza gesi chafu. Hapo ukitafuna mlonge na kunywa maji ya moto hiyo gesi itaisha mara moja. Hii ni kawaida wala sio ugonjwa.
Pole sana!
 
Chukua baking soda ya simba ile iliyomo kwenye boksi ya rangi ya blue na nyekundu......wanayotumia kutengenezea keki na sio ile ya maandazi....


Chukua maji ya kunywa ujazo wa lita moja......tia kijiko kimoja na nusu cha hiyo baking soda niliyokwambia tikisa vema na uanze kunya kama unavyokunywa bia.....

Halafu achana na kutumia soda aina zote, juice za viwandani, bia na chai ya majani haya meusi(chai ya rangi) ila utumie sana yale majani ya kijani!
 
Ahsante mkuu ngoja nifanye ivo
 
Na usizembee maana hiyo acid Inakuja hadi kwenye koo ....italeta infection then cancer ya koo.... Bibi yangu Alikuwa na hilo Tatizo pasipo sisi kujua..... So fanya haraka uwende kwa wataalamu
 
Msaada wakuu kama mnavoona nimeenda hospital wamenipa ampiclox doctor unasema ni hali ya kawaida ..... Wataalamu naomba mnisaidie kwan unanipa tabu sana
 

Attachments

  • IMG_20181218_143405_435.jpg
    3.8 KB · Views: 84
Mkuu kama upo Dar nenda pale magomeni EKENYWA HOSPITAL ipo kwa sheikh yahya ndo kuna specialist wa kichwa kizima
Angalia vzr mkuu chini apo ndo kuna uvimbe napata tabu sanaaa ata kumeza mate panauma sana
 
Nipo irin
Mkuu kama upo Dar nenda pale magomeni EKENYWA HOSPITAL ipo kwa sheikh yahya ndo kuna specialist wa kichwa kizima
iringa mkuu sijui maspecialist nitawapata wapi ni wako dar tuu ??
 
Mnisadie wakuu hao maspecialist nitawapata wapi Maana hospital ya wilaya ndo ivo wamenipa ampiclox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…