Koo linaniteasa

Koo linaniteasa

Wanadai hali ya kawaida akat ata kumeza mate shida an mpka sikio LA upand huo linauma
 
Bima ninayo mkuu
Mkuu nenda Hosp ya mkoa wa iringa Onana Na watu wa ENT watakusaidia japo naona umekuwa muoga sana lakini Nina hakika huo Ni uvimbe wa kawaida tu tena upo nje Na Wala sio ndani ya Koo kama ambavyo unadhani hata iyo shindwa meza Ni sababu tu ya huo uvimbe ambao na hakika utaisha tu fasta bada ya kupewa dawa
 
Nipo iringa mkuu sasa sijui hao maspecialist nitawapata wapi
Nenda hospitali ya rufaa ya mkoa kama hakuna ma specialist upewe rufaa uende muhimbili...NB..usifanye mzaha wa kuupuuzia hata kidogo.
 
Kama Iringa Referral Hosp kuna hicho kitengo ni vema akaanzia hapo
Yap Na sio kukimbilia muhimbili hawakawii mrudisha mana pale jamaa wanawagonjwa wengi sana, ila jamaa anamtisha sana aseh hahaaa
 
Ni kweli muhimbili bila barua ya rufaa kutoka kwenye hospitali ya mkoa hawapokei mtu
Yap Na sio kukimbilia muhimbili hawakawii mrudisha mana pale jamaa wanawagonjwa wengi sana, ila jamaa anamtisha sana aseh hahaaa
 
Acha kumtisha mkuu anaendaje muhimbili wakati kuna Hosp iringa?
Huo uvimbe Ni wa kawaida tu hakuna cancer apo
ALIYE mwambia Ni cancer Nani .NIMEMSHAURI AOMBE RUFAA AENDE MUHIMBILI NAJUA MATATIZO YA UPUNGUFU WA VIFAA NA WATAALAMU KTK HOSPITALI ZA KATA VIJIJI NA MIKOA
 
Back
Top Bottom