Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 378
- 313
- Thread starter
-
- #41
Nipo irin
iringa mkuu sijui maspecialist nitawapata wapi ni wako dar tuu ??
Itabid nijipange niende darSijajuwa kwa iringa
HOSPITALI vya RUFAA ya MKOA wa Iringa au uende MuhimbiliNipo iringa sasa sijui wanapatikana wapi
Nenda hospitali ya RUFAA ya MKOA wa Iringa Omba RUFAA uende Muhimbili au nenda Muhimbili je una bima ya afya?Wanadai hali ya kawaida akat ata kumeza mate shida an mpka sikio LA upand huo linauma
Bima ninayo mkuuNenda hospitali ya RUFAA ya MKOA wa Iringa Omba RUFAA uende Muhimbili au nenda Muhimbili je una bima ya afya?
Ngoja niende hospital ya rufaa keshoHOSPITALI vya RUFAA ya MKOA wa Iringa au uende Muhimbili
NENDA MUHIMBILI MKUUBima ninayo mkuu
Ngoja nijipange kwanzaNNENDA MUHIMBILI MKUU
Mkuu nenda Hosp ya mkoa wa iringa Onana Na watu wa ENT watakusaidia japo naona umekuwa muoga sana lakini Nina hakika huo Ni uvimbe wa kawaida tu tena upo nje Na Wala sio ndani ya Koo kama ambavyo unadhani hata iyo shindwa meza Ni sababu tu ya huo uvimbe ambao na hakika utaisha tu fasta bada ya kupewa dawaBima ninayo mkuu
Pia hapa Arusha Selian hospital wanahiyo clinic pia foleni sio kubwa sana,Muhimbili foleni ni kubwa kuna wakati nilitibiwa nikabadili clinic nikaenda selianNNENDA MUHIMBILI MKUU
Una muda Gani tangu umeanza?Msaada wakuu kama mnavoona nimeenda hospital wamenipa ampiclox doctor unasema ni hali ya kawaida ..... Wataalamu naomba mnisaidie kwan unanipa tabu sana
Acha kumtisha mkuu anaendaje muhimbili wakati kuna Hosp iringa?NNENDA MUHIMBILI MKUU
Kama Iringa Referral Hosp kuna hicho kitengo ni vema akaanzia hapoAcha kumtisha mkuu anaendaje muhimbili wakati kuna Hosp iringa?
Huo uvimbe Ni wa kawaida tu hakuna cancer apo
Ahsant mkuu ngoja nianzie iringa hospitalKama Iringa Referral Hosp kuna hicho kitengo ni vema akaanzia hapo
Nenda hospitali ya rufaa ya mkoa kama hakuna ma specialist upewe rufaa uende muhimbili...NB..usifanye mzaha wa kuupuuzia hata kidogo.Nipo iringa mkuu sasa sijui hao maspecialist nitawapata wapi
Yap Na sio kukimbilia muhimbili hawakawii mrudisha mana pale jamaa wanawagonjwa wengi sana, ila jamaa anamtisha sana aseh hahaaaKama Iringa Referral Hosp kuna hicho kitengo ni vema akaanzia hapo
Tangu mwezi wa 9 lkn ulikuw hauumi umeanza kuuma mwezi wa 11Una muda Gani tangu umeanza?
Yap Na sio kukimbilia muhimbili hawakawii mrudisha mana pale jamaa wanawagonjwa wengi sana, ila jamaa anamtisha sana aseh hahaaa
ALIYE mwambia Ni cancer Nani .NIMEMSHAURI AOMBE RUFAA AENDE MUHIMBILI NAJUA MATATIZO YA UPUNGUFU WA VIFAA NA WATAALAMU KTK HOSPITALI ZA KATA VIJIJI NA MIKOAAcha kumtisha mkuu anaendaje muhimbili wakati kuna Hosp iringa?
Huo uvimbe Ni wa kawaida tu hakuna cancer apo