Koo linaniteasa

Kuna siku nilimwelekeza doctor kwamba ni uvimbe wa mda anifanyie transfer akaja juu anasema namfundisha kazi ndo nkaamua kuja iringa mjini mwenyewe kesho ndo nionane na specialist
 
Kuna siku nilimwelekeza doctor kwamba ni uvimbe wa mda anifanyie transfer akaja juu anasema namfundisha kazi ndo nkaamua kuja iringa mjini mwenyewe kesho ndo nionane na specialist
Mimi ningemuwashia moto Hawa madaktari sijui wanashida Gani kama hela nalipa Mimi au bima ninayo kwanini anaweka roho ngumu pale napotaka matibabu zaidi kujua tatizo nadhani huu Ni utaratibu mbovu sana madaktari wengi sasa wanaassume tu utasikia kwa umri wako huu huwezi pata ugonjwa huu hivo tumia hii dawa utapona wamesahau kabisa kwamba majira yamebadilika magonjwa hayana rika sasa yanampata MTU yeyote
 
Kama ulikuwepo mkuuu alinikadiria aksema kwa age ako huo uvimbe hauna madhara an madaktar wetu hawa
 
Kama ulikuwepo mkuuu alinikadiria aksema kwa age ako huo uvimbe hauna madhara an madaktar wetu hawa
Ninawajua ndo maana badala wafanye kazi waliyosomea wanaanza kufanya kazi za kupiga ramli
 
Nenda muhimbili fasta utapata huduma nzuri sana pale kuna madaktari bingwa ambao wameshakutana na kesi nyingi sana za koo ,maskio na pua. Huku mikoani madaktari wa aina hii ni adimu sana.
 
Pole sana mkuu!

Usisahau kuleta mrejesho jioni ukishatoka hospital na kupumzika kidogo.
 
Ngoja niende hospital ya rufaa kesho
Nenda hospitali ya rufaa halafu watakachokueleza zingatia. Ila ni vema ukazingatia Yale waliyokwambia huko hospital na watayokwambia hospital ya mkoa kabla ya kwenda dar,unaweza poteza hela bure wakati kweli ni jambo la kawaida,muda mwingine hivi vitu huwa vinakuja kama aleji
 
Mrejesho wa hospital Leo ....... Nimepewa barua ya transfer kwenda Dodoma kwa ajili ya vipimo kama vinavyoonekana hapo chini......... Nashkuru kwa wote mlionipa moyo na mawazo yenu keshokutwa nategemea kwenda Dodoma...........
 
Attachments

  • IMG_20181219_221244_343.jpg
    148.1 KB · Views: 53
Na sijajua kwa hivo vipimo wanatumia bima au wanataka cash kwa anaejua anisaidie hilo........ Nashkuru sana
 
Mrejesho wa hospital Leo ....... Nimepewa barua ya transfer kwenda Dodoma kwa ajili ya vipimo kama vinavyoonekana hapo chini......... Nashkuru kwa wote mlionipa moyo na mawazo yenu keshokutwa nategemea kwenda Dodoma...........
Dodoma? Haya karibu mkuu.Angalizo ukifika utalazwa usiseme Kama una ndg Dom na utakaa nje ya hosp,utapata
usumbufu wa KLINIK za kila wiki Bora ubaki HUKOHUKO wodin ili tiba iwe rahis na kupunguza GHARAMA zisizo za lazima.
PIA UKIJA TUWASILIANE JAPO NIWE NAKUTEMBELEA mkuu Kama hutojali
 
Na sijajua kwa hivo vipimo wanatumia bima au wanataka cash kwa anaejua anisaidie hilo........ Nashkuru sana
Bima inafanya mkuu kwanini wamekupeleka Dodoma au ndo karbu?

Ila nchi yetu hii kweli vituko yani OGD tu mpaka Dodoma alafu wanasiasa wakisimama majukwaani utadhani nchi imekuwa kama heaven
 
Dah wanasiasa muone aibu kwa kweli mnayoyasema majukwaani Na uhalisia unasikitisha sana yani mpaka Leo Karne ya 21 Hosp ya rufaa iringa Haina kipimo cha OGD alafu mnakazana nunua mandege jamani tumieni akili kidogo tu Bila afya hakuna ambaye ataweza hata piga kelele hapa jukwaani embu shughulikieni mambo ambayo yanawagusa watanzania Moja kwa Moja achaneni Na mavitu ya ajabu ajabu imarisheni afya Na elimu Ni aibu Na ukatili wa Hali ya juu huu mnatufanyia
 
Ucj Ucjal mkuuu nkifika ntakupa taarifa
 
Bima inafanya mkuu kwanini wamekupeleka Dodoma au ndo karbu?

Ila nchi yetu hii kweli vituko yani OGD tu mpaka Dodoma alafu wanasiasa wakisimama majukwaani utadhani nchi imekuwa kama heaven
Ndo nchi yetu mkuu tutafanyaje sasa kama hospital ya mkoa haina ogd
 
Ni kweli mkuuu ni aibu asee afu wananunua madreamliner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…