Koo linaniteasa

Nashkuru sana kwa michango yenu ntaendelea kuleta mrejesho
 
Mrejesho wa hospital Benjamin mkapa Dodoma
Nilikuta na ENT baada ya kunihoji sana na kujua historia ya maumivu ya koo tukafanya vipimo vipimo vya koo kwa kuangalia ndani ya koo nini tatizo ikaonekana hakuna tatizo an ule uvimbe Upo nje ya koo sio ndan ............. Na tatizo lililogundulika ni silent acid reflux ni acid inayopanda kooni na kuchoma ndo inayonipa maumivu kooni na kupata shida ya kumeza mate
Nashukuru kwa wote mlionipa ushauri kwa sasa nimerudi iringa na naendelea vizuri
Asante WAKUU kwa ushirikiano wenu
 

Attachments

Ulifanyiwa kipimo gani
 
Je Na huo uvimbe haujafanyiwa uchunguzi?

Au ndo story zile zile sababu umeenda kwa issue ya Koo Na uvimbe uko nje Basi hakuna sababu ya kuufanyia kazi?
 
Je Na huo uvimbe haujafanyiwa uchunguzi?

Au ndo story zile zile sababu umeenda kwa issue ya Koo Na uvimbe uko nje Basi hakuna sababu ya kuufanyia kazi?
Ni infection tuu mkuu wamenipa dawa na unapotea sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…