Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 378
- 313
- Thread starter
- #101
Nashkuru sana kwa michango yenu ntaendelea kuleta mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrejesho mkuu tafadhali nami nashida kama hiyoNashkuru sana kwa michango yenu ntaendelea kuleta mrejesho
Tayari mkuu Upo nshaletaMrejesho mkuu tafadhali nami nashida kama hiyo
Tayari mkuuMrejesho muhim mkuu
Gharama za kipimo shingapNaskuru mkuu
Ulifanyiwa kipimo ganiMrejesho wa hospital Benjamin mkapa Dodoma
Nilikuta na ENT baada ya kunihoji sana na kujua historia ya maumivu ya koo tukafanya vipimo vipimo vya koo kwa kuangalia ndani ya koo nini tatizo ikaonekana hakuna tatizo an ule uvimbe Upo nje ya koo sio ndan ............. Na tatizo lililogundulika ni silent acid reflux ni acid inayopanda kooni na kuchoma ndo inayonipa maumivu kooni na kupata shida ya kumeza mate
Nashukuru kwa wote mlionipa ushauri kwa sasa nimerudi iringa na naendelea vizuri
Asante WAKUU kwa ushirikiano wenu
Je Na huo uvimbe haujafanyiwa uchunguzi?Mrejesho wa hospital Benjamin mkapa Dodoma
Nilikuta na ENT baada ya kunihoji sana na kujua historia ya maumivu ya koo tukafanya vipimo vipimo vya koo kwa kuangalia ndani ya koo nini tatizo ikaonekana hakuna tatizo an ule uvimbe Upo nje ya koo sio ndan ............. Na tatizo lililogundulika ni silent acid reflux ni acid inayopanda kooni na kuchoma ndo inayonipa maumivu kooni na kupata shida ya kumeza mate
Nashukuru kwa wote mlionipa ushauri kwa sasa nimerudi iringa na naendelea vizuri
Asante WAKUU kwa ushirikiano wenu
Alifanya OGD mkuu ndio aliandikiwa akafanye Dodoma mana iringa hakikuwepoUlifanyiwa kipimo gani
OgdUlifanyiwa kipimo gani
Ni infection tuu mkuu wamenipa dawa na unapotea sasa hiviJe Na huo uvimbe haujafanyiwa uchunguzi?
Au ndo story zile zile sababu umeenda kwa issue ya Koo Na uvimbe uko nje Basi hakuna sababu ya kuufanyia kazi?
Kiufupi kule walianza upya nimefanya vipimo vitanoAlifanya OGD mkuu ndio aliandikiwa akafanye Dodoma mana iringa hakikuwepo
Sijalipa ata kumi kwenye vipimo ila baadhi ya dawa ndo nilinunuaGharama za kipimo shingap