proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Katika kufanya uchunguzi ndani ya nchi hii kuna ukoo/koo zenye maendeleo na zile ambazo hata wafanyeje kufanikiwa ni ngumu au watatumia nguvu kubwa kufanikiwa kimaendeleo, yaani kielimu na kiuchumi.
๐๐จ๐จ ๐ณ๐ข๐ฅ๐ข๐ณ๐จ๐๐๐ง๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐ ๐ก๐ฎ๐ฐ๐ ๐ณ๐ข๐ค๐จ๐ฃ๐ ๐๐ฎ ๐ณ๐ข๐ฆ๐๐๐๐ง๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐๐ฃ๐?
Miaka ya hapo nyuma baada ya uhuru watu wake waliipenda elimu na kuchukua nafasi kubwa kubwa serikalini.
Watu wa huo ukoo wanatabia kupenda maendeleo ya wengine yaan mwingine akifanikiwa wao hufurahi.
wanatabia ya kuvutana na kupeana kitu chochote chenye maendeleo ili kila mtu awe na maendeleo.
Japokuwa wivu upo, hata ule wa uchawi hawalogani ili kuharibiana maisha.
Wake kwa waume wanapendana na watoto wa ndugu zao wote kwa pamoja bila ubaguzi.
Licha ya utajiri lazima uwe bahili wamesaidia na wengine wasiojiweza hadi wao wakafanikiwa.
Wanaume wa hizo koo huoa koo bora ili kuendeleza kizazi bora.
๐๐จ๐จ ๐๐ฆ๐๐๐ณ๐จ ๐ก๐๐ณ๐ข๐ฃ๐๐๐๐ง๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ก๐๐ฌ๐๐ก๐๐ฌ๐.
Akitokea mmoja wapo aliyefanikiwa ni Mungu mtu na anataka aabudiwe.
Ni koo ambazo hawakuweka kipaumbele cha elimu miaka ya nyuma.
Ni koo zenye wachoyo na wivu mkali yaani wakiona unataka kutoka ni bora wafanye juu chini ama waharibu mali au wakuloge.
Wanaowaharibia sana ni wanawake hasa walioolewa kutoka koo nyinginezo tofauti na wale waliozaliwa ndani ya ukoo. Unakuta kuna mwanamke mmoja mchawi na mwenye wivu ameukamata ukoo mzima hadi mnafikiri mna laana.
Japokuwa ya laana zipo za asili, wamejilaani wenyewe kwa wenyewe hawataki kabisa kushikana na kuvutana kwenye shughuli za kielimu na kimaendeleo.
Licha kuna wanaume wachawi ni mara chache sana wanaume kuloga kwa kuharibu. Koo hizi zina wanawake wenye uchawi mkali wa kiafrika ambao hauna maendeleo.
Akitokea mmoja aliyefanikiwa, amefanikiwa kutoka kwa watu asiowafahamu haswa ambao ndio wamempush na mtu huyu huweza kujitenga na ukoo ili kuepusha majanga.
Mara nyingi hujikuta wameoa ukoo unaofanana na tabia zinazoendana.
Watu wao hufurahi sana pale mtu wao mpambanaji ameshindwa na kurudi nyuma.
Ama ametokea mtu mmoja aliyemshika mkono mwingine akatoka atatangaza milele isingekua yeye fulani asingetoka.
๐๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐๐ณ๐, ๐๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ค๐จ๐ฌ๐จ๐ ๐ฉ๐ข๐ ๐๐ฌ๐๐ง๐ญ๐ ๐ฐ๐๐ค๐จ ๐ฉ๐ซ๐จ๐ญ๐จ๐ง ๐ฉ๐ฎ๐ฆ๐ฉ bila kuwasahau wale wote wanaopenda nyuzi zangu hasa ww uliyefungua huu uzi na kuusoma.