Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,065
Hyo kwenye betting inaitwa draw no betNina ndugu matajiri Ila , wanashindwa kunisaidia kwa sababu ili wakusaidie lazima uwanyenyekee to your feet.
Wengine siyo laana ni uzembe, kama baba aliwekeza kwenye uchakataji wa mbususu na pombe na hakuwekeza ktk elimu bora kwa watoto wake hapo umaskini ni kurithishana tu hakuna uchawi wala laana.Kama kwenye ukoo Kuna namna ya laana kutoboa ni ngumu sana
Tumetofautiana kwakweli..mie sioni shida kabisaNina ndugu matajiri Ila , wanashindwa kunisaidia kwa sababu ili wakusaidie lazima uwanyenyekee to your feet.
Bila Shaka Mengi Yana Ukweli wake...hususani pale kwenye Koo Ambazo hazifanikiwi Mara nyingi wanaume wa Koo hizo wanaongozwa kwenda kuoa wanawake washirikina au wachawi...hili' lipo' wanaume wa Koo hizo wako vzr...Ila wakifikia kuoa wanadondokea kusiko'Katika kufanya uchunguzi ndani ya nchi hii kuna ukoo/koo zenye maendeleo na zile ambazo hata wafanyeje kufanikiwa ni ngumu au watatumia nguvu kubwa kufanikiwa kimaendeleo, yaani kielimu na kiuchumi.
𝐊𝐨𝐨 𝐳𝐢𝐥𝐢𝐳𝐨𝐟𝐚𝐧𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐳𝐢𝐤𝐨𝐣𝐞 𝐚𝐮 𝐳𝐢𝐦𝐞𝐟𝐚𝐧𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚𝐣𝐞?
Miaka ya hapo nyuma baada ya uhuru watu wake waliipenda elimu na kuchukua nafasi kubwa kubwa serikalini.
Watu wa huo ukoo wanatabia kupenda maendeleo ya wengine yaan mwingine akifanikiwa wao hufurahi.
wanatabia ya kuvutana na kupeana kitu chochote chenye maendeleo ili kila mtu awe na maendeleo.
Japokuwa wivu upo, hata ule wa uchawi hawalogani ili kuharibiana maisha.
Wake kwa waume wanapendana na watoto wa ndugu zao wote kwa pamoja bila ubaguzi.
Licha ya utajiri lazima uwe bahili wamesaidia na wengine wasiojiweza hadi wao wakafanikiwa.
Wanaume wa hizo koo huoa koo bora ili kuendeleza kizazi bora.
𝐊𝐨𝐨 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐳𝐨 𝐡𝐚𝐳𝐢𝐣𝐚𝐟𝐚𝐧𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐡𝐚𝐬𝐚𝐡𝐚𝐬𝐚.
Akitokea mmoja wapo aliyefanikiwa ni Mungu mtu na anataka aabudiwe.
Ni koo ambazo hawakuweka kipaumbele cha elimu miaka ya nyuma.
Ni koo zenye wachoyo na wivu mkali yaani wakiona unataka kutoka ni bora wafanye juu chini ama waharibu mali au wakuloge.
Wanaowaharibia sana ni wanawake hasa walioolewa kutoka koo nyinginezo tofauti na wale waliozaliwa ndani ya ukoo. Unakuta kuna mwanamke mmoja mchawi na mwenye wivu ameukamata ukoo mzima hadi mnafikiri mna laana.
Japokuwa ya laana zipo za asili, wamejilaani wenyewe kwa wenyewe hawataki kabisa kushikana na kuvutana kwenye shughuli za kielimu na kimaendeleo.
Licha kuna wanaume wachawi ni mara chache sana wanaume kuloga kwa kuharibu. Koo hizi zina wanawake wenye uchawi mkali wa kiafrika ambao hauna maendeleo.
Akitokea mmoja aliyefanikiwa, amefanikiwa kutoka kwa watu asiowafahamu haswa ambao ndio wamempush na mtu huyu huweza kujitenga na ukoo ili kuepusha majanga.
Mara nyingi hujikuta wameoa ukoo unaofanana na tabia zinazoendana.
Watu wao hufurahi sana pale mtu wao mpambanaji ameshindwa na kurudi nyuma.
Ama ametokea mtu mmoja aliyemshika mkono mwingine akatoka atatangaza milele isingekua yeye fulani asingetoka.
𝐔𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐳𝐚, 𝐚𝐮 𝐤𝐮𝐤𝐨𝐬𝐨𝐚 𝐩𝐢𝐚 𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐩𝐫𝐨𝐭𝐨𝐧 𝐩𝐮𝐦𝐩 bila kuwasahau wale wote wanaopenda nyuzi zangu hasa ww uliyefungua huu uzi na kkuuso
Yaah inasaidia Kama Unapata wakukushika Safi Sanaaa hotoi jashoIla kuvutwa mkono kidogo inasaidia
hili nalo neno aise kuna uzembe piaWengine siyo laana ni uzembe, kama baba aliwekeza kwenye uchakataji wa mbususu na pombe na hakuwekeza ktk elimu bora kwa watoto wake hapo umaskini ni kurithishana tu hakuna uchawi wala laana.
Mimi mwenyewe nimeona kabisa sio nimebuniBila Shaka Mengi Yana Ukweli wake...hususani pale kwenye Koo Ambazo hazifanikiwi Mara nyingi wanaume wa Koo hizo wanaongozwa kwenda kuoa wanawake washirikina au wachawi...hili' lipo' wanaume wa Koo hizo wako vzr...Ila wakifikia kuoa wanadondokea kusiko'
....Hilo nimeshudia sio natharia....
kuna wakati unatakiwa kunyanyuliwa na watuNayo hali ya kutaka mno kusaidiwa inafubaza akili.
Nina ndugu matajiri Ila , wanashindwa kunisaidia kwa sababu ili wakusaidie lazima uwanyenyekee to your feet.
Kipindi ambacho unapitia shida hiyo shida yako ni fursa kwa wengine kupiga pesa ndio wakati watu wanaanza kufuata waganga na manabii hawa wote watakupiga pesa ukitegemea ndugu kindipi una shida nae atataka kukutumia kwa manufaa yake kipindi unapitia shida ni bora kukaza mkandakuna wakati unatakiwa kunyanyuliwa na watu
drone a male bee with bitter stingproton pump
kwa kweliKipindi ambacho unapitia shida hiyo shida yako ni fursa kwa wengine kupiga pesa ndio wakati watu wanaanza kufuata waganga na manabii hawa wote watakupiga pesa ukitegemea ndugu kindipi una shida nae atataka kukutumia kwa manufaa yake kipindi unapitia shida ni bora kukaza mkanda
bora upate upambane naoKuna koo ukipata hela kidogo unarogwa ufe!
ni kweli kuna wale ambao ukiwapa wanazitumia kny pombe na mengineyoNi lazima ujue unahitaji kusaidiwa wapi ? Je unafanya shughuli gani ? hakuna mtu atatoa pesa zake hovyo bila kujua zinaenda kufanya nini eti kwasababu wewe ni ndugu yake
sababu anaogopa kutoa pesa zake usijeweka ni kitega uchumi na kesho tena urudi tena kuomba tena
bitter sting, 2 peckers, all wrapped in 1 with a ribbon on itdrone a male bee with bitter sting
SawaMimi mwenyewe nimeona kabisa sio nimebuni