Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Cherish ni aina ya nyimbo ambazo unaweza kuweke replay ukasikiliza siku nzima pasipo kuuchokaTrue
Moja ya kazi za kudumu za Kool & The Gang, mchanganyiko wa funk, disco na R&B hii miamba ilikuwa vipaji sanaOoh lala la la let's go dance
Kwa miaka ya 1970 kufanya production ya aina ile ya muziki ambao haujafungwa na mtindo wa muziki wa miaka ya 70s ujue waandaji walikuwa mbele ya wakatiMkuu vipi i have a dream ya wale ABBA
Umenikumbusha mbali kitambo....Kool & The Gang,, akina Robert Bell na mwenzake Ronald Bell 😍 hakika maisha yanaenda mbioCherish ni aina ya nyimbo ambazo unaweza kuweke replay ukasikiliza siku nzima pasipo kuuchoka