Koplo mstaafu abubujikwa na furaha kukutana na Rais Samia. Ampa fimbo maalum Rais kwa ajili ya kuchapia wapinzani!

Wakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima.

Mzee huyo kutokana na mapenzi yake kwa Rais Samia, alimpa Samia fimbo ambayo kwa mujibu wake itamsaidia kuchapa wapinzani, kuepuka hasidi na chuki kutoka kwa watesi wake na kuifananisha fimbo hiyo na ile ya Mwalimu Nyerere.

Kwa hii video ilivyokaa itoshe kusema kuwa hii nchi ina safari ndefu sana na itachukua miaka mingine 1000 kuitoa CCM madarakani

Habari za kipumbavu hizi
 
Kwamba wapinzani ndio maadui na wanastahili kuchapwa ?

Badala kujikita kwenye issues na kuangalia ni nini kinasemwa au kuongelewa tumebakia kushabikia ni nani kasema au ni wa upande gani

Ewaaaa 🤣🤣🤣🤣
Miaka fulani Moi aliwahi kudondosha ile fimbo yake[Fimbo ya nyayo] akiwa US kwenye mkutano wa UN .

Sasa akiwa anajiandaa kusafiri kwenda Australia kushiriki mkutano wa jumuiya ya madola.

Ikabidi wasiondoke kwanza US mpaka fimbo nyingine itumwe kutoka Kenya ili akifika kuhudhuria mkutano wa jumuiya ya madola awe na fimbo yake.

Sasa unajiuliza hawa viongozi na vifimbo kuna nini hadi hawezi kuhudhuria mkutano bila fimbo?
 
Wakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima.

Mzee huyo kutokana na mapenzi yake kwa Rais Samia, alimpa Samia fimbo ambayo kwa mujibu wake itamsaidia kuchapa wapinzani, kuepuka hasidi na chuki kutoka kwa watesi wake na kuifananisha fimbo hiyo na ile ya Mwalimu Nyerere.

Kwa hii video ilivyokaa itoshe kusema kuwa hii nchi ina safari ndefu sana na itachukua miaka mingine 1000 kuitoa CCM madarakani

Hiyo kopro uwanja wa vita akibinywa PUMBU na adui so atatoa Siri zote za jeshi lake na ramani??🤣🤣😅🤣😅
 
Back
Top Bottom