Ewaaaa 🤣🤣🤣🤣Jini la kazi gani?View attachment 3108413
Mashaallah!!Jini la kazi gani?View attachment 3108413
Habari za kipumbavu hiziWakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima.
Mzee huyo kutokana na mapenzi yake kwa Rais Samia, alimpa Samia fimbo ambayo kwa mujibu wake itamsaidia kuchapa wapinzani, kuepuka hasidi na chuki kutoka kwa watesi wake na kuifananisha fimbo hiyo na ile ya Mwalimu Nyerere.
Kwa hii video ilivyokaa itoshe kusema kuwa hii nchi ina safari ndefu sana na itachukua miaka mingine 1000 kuitoa CCM madarakani
Miaka fulani Moi aliwahi kudondosha ile fimbo yake[Fimbo ya nyayo] akiwa US kwenye mkutano wa UN .Ewaaaa 🤣🤣🤣🤣
Hiyo kopro uwanja wa vita akibinywa PUMBU na adui so atatoa Siri zote za jeshi lake na ramani??🤣🤣😅🤣😅Wakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima.