Kopo la Chooni nina kinyaa nalo!!

Utawashauri nini wanaoishi boarding za upcountry? Wao ndiyo hali halsi hiyo.
 

dah?
Kwa hiyo mkuu ukifanya kubwa unaondoka na 'lube' zako? Kweli mzungu taahira, choo anasafisha na maji, kitobo utamu anaoshea karatasi.
Teh teh teh teh!
 

I'm in love with your coment.
Hivi vyoo western type sivipendi kabisa, risk ya kugonjeka ni kubwa sana.
I love kuchuchumaa kuliko kukaa.
 
duh..kuna mshikaji mmoja alikata kimba pana na fupi..unaambiwa kitu kimetokeza nusu,nusu imebaki ndani, kila akijikwinya kitu hakitoki wala hakikatiki...mchizi akakivuta kwa mkono...
HEHEHEHE....mbavu zangu!!
 
Kwani lazma utumie
kopo la jumuia!!
Yale makopo ya bar uuwiii yananichefuaga!

We kama vipi tumia lile lako unaloogea na hakikisha linakuwa safi
hivi unapoingia toi
kisha unatumia maji
uliyoyakuta ndo nini?
Mwenzako hata hatumii
kopo anatumbukiza
mkono wake humo
sasa sijui we ukija
unajiswafi or ndo unaishia kujipaka
vinyesi vya wenzako?
Tumia ndoo na kopo lako la kuogea
na kama vp tafuta
maalum kwa kaz ya kukata kimba tu!

Du umenikata moto!napga picha utumie hayo maji
ya toi af ukitoka
hapo hunawi looo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…