whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
hahaaa, Na wewe akili yako imeathiliwa na upungufu wa sukariMmhh sukari (mke) chumvi (mchepuko, baki3) au sijui akili zangu zimefahamu tofauti hapa[emoji125] [emoji125]
Mmhh sukari (mke) chumvi (mchepuko, baki3) au sijui akili zangu zimefahamu tofauti hapa[emoji125] [emoji125]
Mi naona sukari ni mbele na chunvi ni nyumaaaa hehehehehe
Jamani jamani [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
mkuu tengua kauli..hapo sukaru ni nyuma halafu chumvi ni mbele bhana weweMi naona sukari ni mbele na chunvi ni nyumaaaa hehehehehe
Tangu Jana asubuhi nikutane na maajabu haya hadi sasa nashindwa kupata jibu nimeona niweke hapa ili tushangae wote haijawahi kutokea sisimizi wajazane kwenye chumvi na kuacha huru sukari iliyopo kwenye chombo karibu kabisa tena sukari ipo wazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inawezekana ule upotevu wa sukari umeathiri akili za viumbe hawa au ni uchuro [emoji134][emoji134][emoji134]