Kopo la chumvi limejaa sisimizi

Kopo la chumvi limejaa sisimizi

whitehorse

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2009
Posts
2,565
Reaction score
4,432
Tangu Jana asubuhi nikutane na maajabu haya hadi sasa nashindwa kupata jibu nimeona niweke hapa ili tushangae wote haijawahi kutokea sisimizi wajazane kwenye chumvi na kuacha huru sukari iliyopo kwenye chombo karibu kabisa tena sukari ipo wazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inawezekana ule upotevu wa sukari umeathiri akili za viumbe hawa au ni uchuro [emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mmhh sukari (mke) chumvi (mchepuko, baki3) au sijui akili zangu zimefahamu tofauti hapa[emoji125] [emoji125]
 
Si
Tangu Jana asubuhi nikutane na maajabu haya hadi sasa nashindwa kupata jibu nimeona niweke hapa ili tushangae wote haijawahi kutokea sisimizi wajazane kwenye chumvi na kuacha huru sukari iliyopo kwenye chombo karibu kabisa tena sukari ipo wazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inawezekana ule upotevu wa sukari umeathiri akili za viumbe hawa au ni uchuro [emoji134][emoji134][emoji134]

Sisimizi wa mwendo kasi.
 
Back
Top Bottom