Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
koraHebu kwanza weka hii source ya hii habari yako.
Kwahiyo wote wanaongoza majina yanaanzia na A?Ingia kwenye website yao kama hiyo huelewi, Acha uvivu
Kama unadhani anafanya komedi na hamaanishi, hebu msome moja ya post zake:Mkuu mbona unaleta userious kwenye komedi?
Huyo jamaa kaingia chaka... badala ya kuingia Kora's English page yeye aliingia kwenye French page!!Rudi utotoni, ndo pumba za kumshauri King kiba hizi, King ni one man army, hahitaji kolabo kutusua kimataifa, na ka single kake ambako kasimama peke yake kubeba tuzo za kimataifa, kwa hiyo kama diamond anafanya kolabo na wasanii wakubwa sio lazima kiba afanye anayofanya mondi
Yaani siasa hadi kwenye burudani...Wanataka kutupiga changa la macho live. Ahaahahaaaa team nyingine nazo [emoji23] [emoji23]
Kama unadhani anafanya komedi na hamaanishi, hebu msome moja ya post zake:
Huyo jamaa kaingia chaka... badala ya kuingia Kora's English page yeye aliingia kwenye French page!!
Country kwa Kifaransa ni pays... kwahiyo alipoona pays, akajua payment!! Btw, hata kama angekuwa anafanya comed, pasingetokea wa kuamini kwamba ni kweli?! Sasa kwanini uache watu wakiendelea kulishwa ujinga!!!
Kutokana na utafiti uliofanywa na KoraAwards, umebaini kuwa, katika kipindi hiki ambacho soko la mziki Afrika linakuwa kwa kasi, katika sehemu mbali mbali, duniani mwanamziki kutoka Tanzania Alikiba ni wa pili kwa mauzo kwa upande wa Afrika kwa sasa. Jambo la kujivunia ni kuwa mziki wa Tanzania umeweza kupenya kwa kasi na kupendwa kwa kasi barani Afrika. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Alikiba
Wizkid hayumo?!
Mtoa mada kuja hapa.Usidanganye watu.
Mleta mada, acha kukurupuka! Hiyo ni Kora's Top 20 na hapo wamepanga alphabetically. Hata Diamond yupo kwenye hiyo list na Diamond yupo kwenye nafasi ya juu ukimlinganisha na Kiba!
View attachment 469958
Kama inavyoonekana hapo juu, Ali Kiba amekaa kwenye Kora's Top 20 in 1 fortnight na Diamond 3 fortnights (= 6 weeks).
Hadi sasa, hakuna mwanamuziki aliyetokea zaidi ya 3 fortnights kwahiyo Diamond yupo kwenye kundi la wale waliokaa muda mrefu zaidi kwenye Kora's Top 20. Kwa Afrika Mashariki, ni Diamond na Victoria Kimani ndio wapo kwenye 3 fortnights.
haa ha haMwanzoni mwa msimu wa Ligi kuu Uingereza huwa inakua hivi:
1.Afc Bournemouth
2.Arsenal
3.Burnley
3.Chelsea
.
.
.
.
.
20.West ham united
Wanakuja sio muda. Enjoy the consequence...Kwangu mimi habari yoyote ya King Kiba inakuwaga ni komedi.
Hata me nashangaasorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
Wanakuja sio muda. Enjoy the consequence...
Kwani wewe ndo nani?Diamond ndo nan
Acha kuongopea umanyimbo ya aje kwa miezi miwili tuu ilimuingizia zaidi ya M 900 kwa kununuliwa kama ringback tone kwa nchi hizi Uganda, Kenya, Nigeria na south Africa. hapo bado kudownlodiwa kwenye sites zaid ya 760 dunia nzima ambapo kazi hiyo ilisimamiwa kisawasawa na Sony.
Asikusumbue uyo..... Ally kwa simba wap na wapM900 sasa mond atakua ana mauzo kiasi gani mkuu??