Kora Awards Alikiba wa pili kwa mauzo Afrika

Kora Awards Alikiba wa pili kwa mauzo Afrika

Mkuu mbona unaleta userious kwenye komedi?
Kama unadhani anafanya komedi na hamaanishi, hebu msome moja ya post zake:
Rudi utotoni, ndo pumba za kumshauri King kiba hizi, King ni one man army, hahitaji kolabo kutusua kimataifa, na ka single kake ambako kasimama peke yake kubeba tuzo za kimataifa, kwa hiyo kama diamond anafanya kolabo na wasanii wakubwa sio lazima kiba afanye anayofanya mondi
Huyo jamaa kaingia chaka... badala ya kuingia Kora's English page yeye aliingia kwenye French page!!

Country kwa Kifaransa ni pays... kwahiyo alipoona pays, akajua payment!! Btw, hata kama angekuwa anafanya comed, pasingetokea wa kuamini kwamba ni kweli?! Sasa kwanini uache watu wakiendelea kulishwa ujinga!!!
 
Kama unadhani anafanya komedi na hamaanishi, hebu msome moja ya post zake:

Huyo jamaa kaingia chaka... badala ya kuingia Kora's English page yeye aliingia kwenye French page!!

Country kwa Kifaransa ni pays... kwahiyo alipoona pays, akajua payment!! Btw, hata kama angekuwa anafanya comed, pasingetokea wa kuamini kwamba ni kweli?! Sasa kwanini uache watu wakiendelea kulishwa ujinga!!!

Kwangu mimi habari yoyote ya King Kiba inakuwaga ni komedi.
 
Kutokana na utafiti uliofanywa na KoraAwards, umebaini kuwa, katika kipindi hiki ambacho soko la mziki Afrika linakuwa kwa kasi, katika sehemu mbali mbali, duniani mwanamziki kutoka Tanzania Alikiba ni wa pili kwa mauzo kwa upande wa Afrika kwa sasa. Jambo la kujivunia ni kuwa mziki wa Tanzania umeweza kupenya kwa kasi na kupendwa kwa kasi barani Afrika. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Alikiba
92bcae7564c8b5f37d8eb77dcb3c07c2.jpg
C4iJYWrXAAEfwn6.jpg

Siyo Mbaya tuna Watanzania wawili katika 20 Africa



 
Team b wanataka link, hiv hakuna njia nyingine ya kutumia hadi mkapata habar msiyoipenda, Ali Khan hatareee
 
Mleta mada, acha kukurupuka! Hiyo ni Kora's Top 20 na hapo wamepanga alphabetically. Hata Diamond yupo kwenye hiyo list na Diamond yupo kwenye nafasi ya juu ukimlinganisha na Kiba!
View attachment 469958
Kama inavyoonekana hapo juu, Ali Kiba amekaa kwenye Kora's Top 20 in 1 fortnight na Diamond 3 fortnights (= 6 weeks).

Hadi sasa, hakuna mwanamuziki aliyetokea zaidi ya 3 fortnights kwahiyo Diamond yupo kwenye kundi la wale waliokaa muda mrefu zaidi kwenye Kora's Top 20. Kwa Afrika Mashariki, ni Diamond na Victoria Kimani ndio wapo kwenye 3 fortnights.

Asee
Nilitaka nishangae
Afadhali umekuja ku clarify
 
hahahahahahahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duuuuuh jamani ata kama ni kiki sio kiivo ali kiba awapite wote hao Afrika mmmmh jamni tuche
 
nyimbo ya aje kwa miezi miwili tuu ilimuingizia zaidi ya M 900 kwa kununuliwa kama ringback tone kwa nchi hizi Uganda, Kenya, Nigeria na south Africa. hapo bado kudownlodiwa kwenye sites zaid ya 760 dunia nzima ambapo kazi hiyo ilisimamiwa kisawasawa na Sony.
Acha kuongopea uma
 
Back
Top Bottom