Ngoja nisubiri team mondi kipovu chao cha kupinga,
Nampa big up Ali k
Coz kwa kaanza kutupa burudani kitambo.
Mkuu usishange kule hakuna janja janja kama kwenye viewrs kule YouTube.sijui management ya diamond hua inafeli wapi kiukwel kwenye mauzo ya mitandaoni hua yupo chini sana hata ukiwa unaangalia takwimu za itune kenya na uganda hua ni jambo linaloshangaza. hata ukija kuangalia kwenye swala la universal najiuliza tuu ilikua sahihi kwa diamond kusign for only usd M1??? nadhani ilitakiwa iwe zaidi. naamin kuna tatizo kwenye management yake japo kuna mambo wanafanya vizur.
diamond ana mtindo wa kutoa audio+video kwa pamoja,kama ujuavyo wabongo ukitoa audio n vdeo kwa pamoja akil zote ni kwny vdeo,alikiba na wengne wanaanza audio then vdeo baada ya majuma kadhaa au mwez so lazma audio iuzke zaid,hope umenipata mkuumkuu Mond hata hapa Tanzania Diamond huwa haongozi kwa mauzo mtandaoni. Mfano mzuri Fatilia takwimu za MKITO utakuta watu usio tegemea. Nilishangaa sana mwaka juzi Ali ana Mwana huku mond ana nyimbo kali sana lakini kwa mwaka 2015 ali alikuwa wa kwanza kimauzo TZ. Kama list niya kweli sito shangaa, na huwa najiuliza kwa nn inatokea hivyo
diamond ana mtindo wa kutoa audio+video kwa pamoja,kama ujuavyo wabongo ukitoa audio n vdeo kwa pamoja akil zote ni kwny vdeo,alikiba na wengne wanaanza audio then vdeo baada ya majuma kadhaa au mwez so lazma audio iuzke zaid,hope umenipata mkuusijui management ya diamond hua inafeli wapi kiukwel kwenye mauzo ya mitandaoni hua yupo chini sana hata ukiwa unaangalia takwimu za itune kenya na uganda hua ni jambo linaloshangaza. hata ukija kuangalia kwenye swala la universal najiuliza tuu ilikua sahihi kwa diamond kusign for only usd M1??? nadhani ilitakiwa iwe zaidi. naamin kuna tatizo kwenye management yake japo kuna mambo wanafanya vizur.
Anakouzia Diamond!sorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
Mchezaji wa Lipuli ya Iringa.Diamond ndo nan
Waache wajitekenye. Ndyo kazi wanayoiweza zaidi. Inawafariji.Mleta mada, acha kukurupuka! Hiyo ni Kora's Top 20 na hapo wamepanga alphabetically. Hata Diamond yupo kwenye hiyo list na Diamond yupo kwenye nafasi ya juu ukimlinganisha na Kiba!
View attachment 469958
Kama inavyoonekana hapo juu, Ali Kiba amekaa kwenye Kora's Top 20 in 1 fortnight na Diamond 3 fortnights (= 6 weeks).
Hadi sasa, hakuna mwanamuziki aliyetokea zaidi ya 3 fortnights kwahiyo Diamond yupo kwenye kundi la wale waliokaa muda mrefu zaidi kwenye Kora's Top 20. Kwa Afrika Mashariki, ni Diamond na Victoria Kimani ndio wapo kwenye 3 fortnights.
Na sitoshangaa ikiwa mpaka sasa hivi bado unamuamini mleta madamkuu Mond hata hapa Tanzania Diamond huwa haongozi kwa mauzo mtandaoni. Mfano mzuri Fatilia takwimu za MKITO utakuta watu usio tegemea. Nilishangaa sana mwaka juzi Ali ana Mwana huku mond ana nyimbo kali sana lakini kwa mwaka 2015 ali alikuwa wa kwanza kimauzo TZ. Kama list niya kweli sito shangaa, na huwa najiuliza kwa nn inatokea hivyo
Sasa mbn haipqndi vplMchezaji wa Lipuli ya Iringa.
Ishapanda Mkuu.Sasa mbn haipqndi vpl
Oooh! Bgbup sana kwaooIshapanda Mkuu.
Article za kuchongasorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond