Kora Awards Alikiba wa pili kwa mauzo Afrika

Ngoja nisubiri team mondi kipovu chao cha kupinga,

Nampa big up Ali k
Coz kwa kaanza kutupa burudani kitambo.

Tatizo wamezoea mashauzi ya Bosi wao Mimi sina team Ila mtu akifanya vizuri nampa big up
 
sijui management ya diamond hua inafeli wapi kiukwel kwenye mauzo ya mitandaoni hua yupo chini sana hata ukiwa unaangalia takwimu za itune kenya na uganda hua ni jambo linaloshangaza. hata ukija kuangalia kwenye swala la universal najiuliza tuu ilikua sahihi kwa diamond kusign for only usd M1??? nadhani ilitakiwa iwe zaidi. naamin kuna tatizo kwenye management yake japo kuna mambo wanafanya vizur.
Mkuu usishange kule hakuna janja janja kama kwenye viewrs kule YouTube.
 
mkuu Mond hata hapa Tanzania Diamond huwa haongozi kwa mauzo mtandaoni. Mfano mzuri Fatilia takwimu za MKITO utakuta watu usio tegemea. Nilishangaa sana mwaka juzi Ali ana Mwana huku mond ana nyimbo kali sana lakini kwa mwaka 2015 ali alikuwa wa kwanza kimauzo TZ. Kama list niya kweli sito shangaa, na huwa najiuliza kwa nn inatokea hivyo
diamond ana mtindo wa kutoa audio+video kwa pamoja,kama ujuavyo wabongo ukitoa audio n vdeo kwa pamoja akil zote ni kwny vdeo,alikiba na wengne wanaanza audio then vdeo baada ya majuma kadhaa au mwez so lazma audio iuzke zaid,hope umenipata mkuu
 
sijui management ya diamond hua inafeli wapi kiukwel kwenye mauzo ya mitandaoni hua yupo chini sana hata ukiwa unaangalia takwimu za itune kenya na uganda hua ni jambo linaloshangaza. hata ukija kuangalia kwenye swala la universal najiuliza tuu ilikua sahihi kwa diamond kusign for only usd M1??? nadhani ilitakiwa iwe zaidi. naamin kuna tatizo kwenye management yake japo kuna mambo wanafanya vizur.
diamond ana mtindo wa kutoa audio+video kwa pamoja,kama ujuavyo wabongo ukitoa audio n vdeo kwa pamoja akil zote ni kwny vdeo,alikiba na wengne wanaanza audio then vdeo baada ya majuma kadhaa au mwez so lazma audio iuzke zaid,hope umenipata mkuu
 
Mleta mada, acha kukurupuka! Hiyo ni Kora's Top 20 na hapo wamepanga alphabetically. Hata Diamond yupo kwenye hiyo list na Diamond yupo kwenye nafasi ya juu ukimlinganisha na Kiba!
View attachment 469958
Kama inavyoonekana hapo juu, Ali Kiba amekaa kwenye Kora's Top 20 in 1 fortnight na Diamond 3 fortnights (= 6 weeks).

Hadi sasa, hakuna mwanamuziki aliyetokea zaidi ya 3 fortnights kwahiyo Diamond yupo kwenye kundi la wale waliokaa muda mrefu zaidi kwenye Kora's Top 20. Kwa Afrika Mashariki, ni Diamond na Victoria Kimani ndio wapo kwenye 3 fortnights.
Waache wajitekenye. Ndyo kazi wanayoiweza zaidi. Inawafariji.
 
mkuu Mond hata hapa Tanzania Diamond huwa haongozi kwa mauzo mtandaoni. Mfano mzuri Fatilia takwimu za MKITO utakuta watu usio tegemea. Nilishangaa sana mwaka juzi Ali ana Mwana huku mond ana nyimbo kali sana lakini kwa mwaka 2015 ali alikuwa wa kwanza kimauzo TZ. Kama list niya kweli sito shangaa, na huwa najiuliza kwa nn inatokea hivyo
Na sitoshangaa ikiwa mpaka sasa hivi bado unamuamini mleta mada
 
mobile.twitter.com/kora_awards/status/831065694712233984/photo/1?ref_src=twsrc%5Etfw
 
Kwani takwimu za mkito kwa hapa bongo anaongoza?jibu nazani utakuwa nalo
 
Back
Top Bottom