Kora Awards Alikiba wa pili kwa mauzo Afrika

Kora Awards Alikiba wa pili kwa mauzo Afrika

Mleta mada, acha kukurupuka! Hiyo ni Kora's Top 20 na hapo wamepanga alphabetically. Hata Diamond yupo kwenye hiyo list na Diamond yupo kwenye nafasi ya juu ukimlinganisha na Kiba!
View attachment 469958
Kama inavyoonekana hapo juu, Ali Kiba amekaa kwenye Kora's Top 20 in 1 fortnight na Diamond 3 fortnights (= 6 weeks).

Hadi sasa, hakuna mwanamuziki aliyetokea zaidi ya 3 fortnights kwahiyo Diamond yupo kwenye kundi la wale waliokaa muda mrefu zaidi kwenye Kora's Top 20. Kwa Afrika Mashariki, ni Diamond na Victoria Kimani ndio wapo kwenye 3 fortnights.
Mtoa mada naona unatamani ally awe kama mond.... Mond ni next kevel
 
Mateja wa makonda bana yaani habari ikisha mhusisha kiba basi lazima muweke ushindani na diamond
 
sorry guys Kiba anauzia wapi hizo nyimbo zake kiasi cha kuwashinda Kina Diamond
mkuu Mond hata hapa Tanzania Diamond huwa haongozi kwa mauzo mtandaoni. Mfano mzuri Fatilia takwimu za MKITO utakuta watu usio tegemea. Nilishangaa sana mwaka juzi Ali ana Mwana huku mond ana nyimbo kali sana lakini kwa mwaka 2015 ali alikuwa wa kwanza kimauzo TZ. Kama list niya kweli sito shangaa, na huwa najiuliza kwa nn inatokea hivyo
 
Habari za kipuuzi kama hizi ndo zinafanya ally k aonekane hafai maana mashabiki wake hawajui wanalolifanya

Unashabikiwa na mazuzu waongo waongo
 
Kwangu mimi habari yoyote ya King Kiba inakuwaga ni komedi.
You're right lakini inategemea na habari inavyowasilishwa!!! Kuna zingine unajua kabisa mtu kaamua kujifurahisha lakini huyo jamaa hakuwa na lengo la kujifurahisha wala kufurahisha... aliamini ndivyo ilivyo!!!!
 
Mleta mada kuna mawili, moja inaweza kuwa ni team Kiba kaamua makusudi kutudanganya, mbili anaweza kuwa ni kilaza wa kutosha kiasi kwamba hakuelewa lugha ya malikia.
 
mkuu Mond hata hapa Tanzania Diamond huwa haongozi kwa mauzo mtandaoni. Mfano mzuri Fatilia takwimu za MKITO utakuta watu usio tegemea. Nilishangaa sana mwaka juzi Ali ana Mwana huku mond ana nyimbo kali sana lakini kwa mwaka 2015 ali alikuwa wa kwanza kimauzo TZ. Kama list niya kweli sito shangaa, na huwa najiuliza kwa nn inatokea hivyo
kwa mara ya kwanza mkito kupata changamoto ya kudownloadiwa kwa nyimbo ni ilipotoka chekecha cheketua mkito ilishindwa hadi kufunguka sababu ya watu kupakua sana hiyo nyimbo kwa wakat mmoja. ni kama ambavo necta ambavo huelemewa wakitoa matokea ya form iv
 
Swali zuri
sijui management ya diamond hua inafeli wapi kiukwel kwenye mauzo ya mitandaoni hua yupo chini sana hata ukiwa unaangalia takwimu za itune kenya na uganda hua ni jambo linaloshangaza. hata ukija kuangalia kwenye swala la universal najiuliza tuu ilikua sahihi kwa diamond kusign for only usd M1??? nadhani ilitakiwa iwe zaidi. naamin kuna tatizo kwenye management yake japo kuna mambo wanafanya vizur.
 
Mleta mada unaharaka ya wapi tulia andika taratibu sio kinafiki kama umekabwa na mnofu [emoji23][emoji23][emoji23] hii gemu haitaki hasira team matopeni nguvu nyingii ubongo wa mende [emoji16][emoji16] diamond fever[emoji91][emoji91] leta source
 
sijui management ya diamond hua inafeli wapi kiukwel kwenye mauzo ya mitandaoni hua yupo chini sana hata ukiwa unaangalia takwimu za itune kenya na uganda hua ni jambo linaloshangaza. hata ukija kuangalia kwenye swala la universal najiuliza tuu ilikua sahihi kwa diamond kusign for only usd M1??? nadhani ilitakiwa iwe zaidi. naamin kuna tatizo kwenye management yake japo kuna mambo wanafanya vizur.
Umechsmbua vyema sana mkuu
Somethng is telling me kuna possibility kiba akawa anavuta mkwanja mrefu kuliko hata ndomo
 
Back
Top Bottom