Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hujiulizi Putin amepasha moto nuclear mara ngapi mbona alishindwa kufyatua? aliogopa urusi kubaki vumbi tupuNani mwenye means of delivery nzuri za hayo makombora? Russia ina makombora wa kufika UK chini ya dakika 2 ya nuclear. Unazungumzia nini wewe?
Unafikiri rais Macron ni mjinga kusema hatoingia kupambana na Russia kwenye vita ya nuclear?
Baada ya USSR kuvunjika makachero wengine waliyodondokea kwenye nchi za NATO walitoa siri kuwa Russia ina mfumo unaoitwa DEAD HAND ni automatic nuclear weapons-control system. Hata uilipue Russia yote kwa nuclear huo mfumo unajiendesha wenyewe na kurudisha mashambulizi kwa wahasimu wao.
Putin alipofanyiwa interview aliwaambia west. Hata kama mkitushambulia DEAD HAND itafanyakazi yake, na watahakikisha West wote wanaenda kuzimu kwani hawatowaachia hata muda wa kufanya toba/kutubu.
Russia imeshajiweka tayari kwa lolote, ngoja west wakosee mahesabu na waone kitakachowajia.
Huko nyuma hakuna vita aliyopigana Russia bila ya msaada kutoka ulaya na marekani, hata utajiri wa Russia ulitokana na nchi za ulaya gasi karibu 47% Putini alikuwa anavuna kutoka ulaya baada ya kulikoroga sasa uchumi wake unaangukaWenzako wanatumia akili nzito wewe unatumia nyepesi utaelewa nini kuhusu haya!
Haya mambo si ya ki political au ideological! Hizi ni kanuni za kivita. Russia ni taifa kongwe kuliko Marekani.
Limepigana vita nyingi mno na vita kubwa! Ukubwa wake wa km za mraba hazikupatikana kwa sababu hayo maeneo ni baridi bali kwa vita.
Hivyo, huwezi kulishinda au kulielekeza kivita jinsi gani ya kuendesha mashambulizi yao au nini cha kufanya! Wewe umepigana vita gani na ngapi?
Na Ukraine ipi inayoifanya Russia isilale wakati ndani ya nchi ya Russia raia wanaendelea na maisha yao kama kawaida?!
Kama unayoakili ya kufikiri kwa nini Russia ilipotangaza kujitoa kwenye makubaliano ya Strategic Arms Reduction Treaty (START) Mkurugenzi Mkuu wa NATO, Biden na Blinken Katibu Mkuu wa Marekani kwa nini wamelalamika kwa pamoja na kutoa masikitiko yao Russia kujitoa huko kwenye START III?
Unazungumza nini humu zaidi ya kutuletea ngano za pauka pakawa?
Kama hujui North Korea na USA ni karibu sana kijiografia. NK wakirusha kombora la nuclear linatua New York City ndani ya dakika 30 na hizi takwimu ni za miaka takribani 4 iliyopita, vipi kwa sasa?
Licha ya majaribio yote anayoyafanya kwa nini hawamvamii? Kwa nini wanaishia kumlaani tu?
Unajua ya kwamba manuari ya kivita ya North Korea ilishawahi kuvuka mpaka baada ya kupata hitilafu na kuingia Gangneung South korea? South Korea ilipeleka wanajeshi 43,000 kupambana na wanajeshi wa North Korea 26 na mapambano yalichukua siku 49.
Kim Jong ill baba wa kiongozi wa sasa wa NK alimwambia Bush ajaribu kuivamia NK tena kama miaka ya nyuma aone. Na wao watahakikisha Bush atasomeka kama Rais mjinga aliyewahi kutokea America na atakayesomwa vizazi na vizazi.
Kwa nini afyatue?Kwanini hujiulizi Putin amepasha moto nuclear mara ngapi mbona alishindwa kufyatua? aliogopa urusi kubaki vumbi tupu
Alisema nchi itakayoisaidia silaha Ukraine ataishambulia kwa nuclear sasa wanyama wako waziwazi US-Nato ameogopa nini tenaKwa nini afyatue?
Kama wameanza propaganda kuwa Viongozi wanaoenda Kyiv wanaongozana na silaha.Alisema nchi itakayoisaidia silaha Ukraine ataishambulia kwa nuclear sasa wanyama wako waziwazi US-Nato ameogopa nini tena
Hapa hatupo kwenye vijewe vya gahawa!Huko nyuma hakuna vita aliyopigana Russia bila ya msaada kutoka ulaya na marekani, hata utajiri wa Russia ulitokana na nchi za ulaya gasi karibu 47% Putini alikuwa anavuna kutoka ulaya baada ya kuliko
Nend kasome hapo!47% Putini alikuwa anavuna kutoka ulaya baada ya kulikoroga sasa uchumi wake unaanguka
Aliyekuwa waziri mkuu staafu wa Israel Naftali Bennet alikuwa ni mmoja wa usuluhishi wa mgogoro (Ukraine-Russia). Zelensky alimuomba Naftali amhakikishie usalama wake wa maisha kutoka Russia na kipindi hicho Zelensky alijificha hajulikani yupo wapi mwanzoni kabisa mwa SMO.Kama ulisikiliza vizuri hotuba ya Zelensky juzi kwenye sherehe za mwaka kuvamiwa 24 February amesema anauhakika 2023 kazi kumtoa mvamizi kwenye nchi yao itakuwa imekamilika, kuna kila dalili urusi kushindwa vita,
Wewe ni either Extremely Smart or Extremely Ignorant. Kwani mobilisation ni kitu cha kushangaza?! Wapi umeona Russia inakamata raia wake kama Ukraine kuwalazimisha waingie vitani?alianza na wanajeshi 200,000 akaongeza na 100000 lakini baadae tukashuhudia analazimisha vijana wa nchi yake kwenda vitani kutaka wasitake, wafungwa na sasa Wagner group b
Hakuna cha mnyama wala mmea.Alisema nchi itakayoisaidia silaha Ukraine ataishambulia kwa nuclear sasa wanyama wako waziwazi US-Nato ameogopa nini tena
Umempa za uso, nadhani ataacha ushabiki maandazi. Labda kama atakuwa kichwa ngumu kama kp kipanya44Hakuna cha mnyama wala mmea.
Nchi itakayoisaidia Ukraine ni kupeleka majeshi yao nchini ukraine kama ilivyokuwa Iraq au Libya.
Kinachoendelea Ukraine kwa sasa kutoka west ni mkopo wa silaha. Huu ni mkopo wala si msaada! Yupo vitani anafanya mkopo wa silaha kwa mataifa mengine ili aendelee kupigana. Hakuna cha msaada hapo!
Hizo habari za kusema atapiga nuclear nchi itakayosaidia Ukraine umetunga wewe! Hizo ni hallucinations zako za wishful thinking!
Ni lazima upinge na ukatae kauli za Putin kama alivyoputin mwenyewe analosema leo kesho hakumbuki tena ndio maana US wanamchukulia ndio madhaifu yake na sasa wanamfanya wanavyotaka, putin ni kiongozi muongo sana, lakini muoga sana, lakini ndaro kwa wingi sasa kila kitu kinamsuta,Hakuna cha mnyama wala mmea.
Nchi itakayoisaidia Ukraine ni kupeleka majeshi yao nchini ukraine kama ilivyokuwa Iraq au Libya.
Kinachoendelea Ukraine kwa sasa kutoka west ni mkopo wa silaha. Huu ni mkopo wala si msaada! Yupo vitani anafanya mkopo wa silaha kwa mataifa mengine ili aendelee kupigana. Hakuna cha msaada hapo!
Hizo habari za kusema atapiga nuclear nchi itakayosaidia Ukraine umetunga wewe! Hizo ni hallucinations zako za wishful thinking!